Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sometimes inabidi ucheke kwa hizi comments.
Kweli!!!! Kazi yake ni kuunganisha??? Na kufunga niziada???? Kweli!!!!!!! Tuweni siriazi Kidogo.

Tena Bobby ni Striker kibongobongo tunamwita Namba 9 leo hii tunaambiwa kufunga ni Ziada lakini Salah ambaye ni Winger analaumiwa kwa kuto kufunga.
Haki ya nani hichi kizazi Sishangai Mdee kuanza urafiki na Mashinji.
 
Sometimes inabidi ucheke kwa hizi comments.
Kweli!!!! Kazi yake ni kuunganisha??? Na kufunga niziada???? Kweli!!!!!!! Tuweni siriazi Kidogo.
Lazima ucheke mana uwazavyo sivyo niwazavyo.
Sio kwa vile kavishwa namba 9 unajiaminisha ni straika hapana mpira ni mbinu mzee huyo hajawai kua mfungaji ndugu.
 
Unaona bhana ni rahisi sana kumjua goligeta Jota ndie
 
Mimi natangaza namchukia Salah kwa tabia ya kujipenda yeye kwanzakabla ya tim.
Naamini kwa uwezo wake akiutumia ki tim tutafanikia kirahisi zaidi ya hivi.

Muangalie wa kabla ya kua mfungaji na sasa hivi.

Sijasema hafai ila natamani awe anakaa benchi walau dakika 30 kila mechi
 
Tena Bobby ni Striker kibongobongo tunamwita Namba 9 leo hii tunaambiwa kufunga ni Ziada lakini Salah ambaye ni Winger analaumiwa kwa kuto kufunga.
Haki ya nani hichi kizazi Sishangai Mdee kuanza urafiki na Mashinji.
Mwaka gani aliwahi kua mfungaji?
 
Unaweza kutupatia assist alizonazo Salah?
 
Kwa line up ya leo, sina tumaini kabisa
Najiuliza why Fabinho, Jota waanzie sub!?
 
Lazima ucheke mana uwazavyo sivyo niwazavyo.
Sio kwa vile kavishwa namba 9 unajiaminisha ni straika hapana mpira ni mbinu mzee huyo hajawai kua mfungaji ndugu.
Naamin Utakuwa umewahi kucheza mpira au labd unacheza kwa sasa maana sijui umri wako. Unafahamu Kwamba Joel matip anapokuwa kwenye 18 ya adui hatumuhesabii Kwamba ni beki??? Ukilijua Hili nitaendelea vizuri kukuelewesha kuhusu firmino
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…