Boby kazibyake kubwa ni kuunganisha team kufunga ni ziada tuTangu mzunguko wa pili wa msimu uliopita, Sadio ndio amekuwa moyo wa ushindi wa Liverpool hata km hatofunga goli kwenye mechi.
Na hadi sasa, mchango wa Sadio ni mkubwa zaidi ya yeyote kwenye ile front three yetu.
Salah amepoteza target kidogo, na ndio maana kiwango Cha ufungaji wake kimepungua. Si ajabu kuona anakosa magoli ambayo alikuwa anafunga msimu wa kwanza alipofika lfc.
Bobby amepoteza target pia, licha ya kuaminiwa na Jurgen, lkn ukweli utabaki kujadiliwa, amepoteza target.
Kitu pekee kinachomfanya aendelee kuanza ni namna anavyoweza kufany organisation ya mashambulizi na kuwasaidia wenzake wafunge, basi.
Diogo anaonekana mwenye kismati na nia ya ku-shine haswa. Na hapa ndipo anapoumiza vichwa vyetu kujadili hili.
Binafsi namuona Diogo km Louis, ana usongo wa goli, ari ya kufanikiwa na kuwa mchezaji mahiri zaidi.
Kwa mchezaji wa namna hii, huwezi kumuanzisha bench afu umuanzishe Bobby, haiwezekani.
Uzuri ni kuwa Diogo anaweza kucheza 9 na 7 tena kwa kiwango cha kufanana, na hapa ndipo Salah anaonekana kuja kufunikwa
Pamoja na hayo, hawa wote wanahitajika lfc, lazima tuwe na kikosi kitachoweza kupindua matokeo muda wowote ikiwa walioanza wameshindwa, na hapo ndipo tutapotawala soka la epl na uefa.
Shida yote ni kwamba juzi tulimfunga Leicester kirahisi ndiyo sababu kuu ya Salah kukataliwa.
But pia tumeshinda na Cleansheet juu bila ya VVD tuliyekung'utwa 7 akiwa yeye ndiye Beki lakini sijaona Comment inayosema bila ya VVD ndiyo tunapata Cleansheet.
Basi na mm ntakuambia kumbuka game zote alizocheza ili tufanye comparison nzuri ya umuhimu wake mkuu......salah anakosa magoli sana na anafunga na kutengeneza magoli sana ukimlinganisha na wenzake kwenye timu.Hem kumbuka gem zote ngumu alizokosa kucheza si ya juzi tu
Mimi in kwa dakika 60 Firminho na Mane hawa watu kwangu ndo team hao wengine ndo wapishane huko
Tulishateseka Sana na Liverpool ya akina Sinama Pongole, Voronin, Pellegrino, Carrager,Okay, tuendelee kushabikia timu yetu na ubora wake huu.
Zamu yetu ya kuteseka itakuja tu na tutabaki tunakumbuka kwamba tuliwahi kuwa na watu hawa na hawa.
Tulishateseka Sana na Liverpool ya akina Sinama Pongole, Voronin, Pellegrino, Carrager,
nk. Sidhani kama itakuja tokea Liver mbovu kama ya kipindi kile.
Japo wengine tumeamua kuwa wasomaji tu lkn imenibid nichangie kwa kusema....UMEMALIZA KILA KITU HAPABasi na mm ntakuambia kumbuka game zote alizocheza ili tufanye comparison nzuri ya umuhimu wake mkuu......salah anakosa magoli sana na anafunga na kutengeneza magoli sana ukimlinganisha na wenzake kwenye timu.
Yaan ukichukulia mfano mdogo ule msimu aliokuja liverpool salah kwenye lig alikuwa na goli 32 lakin ukiangalia clear chances alizokosa zinafika hata 12 au 15 kwenye huo msimu na misimu iliyofuata pia yeye ndiye mfungaji bora wa timu na pia yeye ndiyo anayeongoza kukosa nafasi nyingi...sasa kama mtu unajua kuchagua vizuri kitu kwa kulinganisha faida na hasara zake utajua umuhimu wa salah.
Faida ya salah akiwa uwanjani kwa upande wangu
1.anachukua concetration ya mabek wa upande anaocheza(nikisema mabek namaanisha zaid ya mmoja coz mabek wanajua hatari yake kutokana na kasi so mara nyingi watu zaid ya wawil hupangwa kumuangalia salah)
2.speed yake ndo silaha kubwa
Kuna mabeki ambao wana weza kumzuia salah ila speed tu ndo inayowasumbua na ndo hapa anapopatia magoli yake mengi.
Hasara za salah
1. Anatabirika kirahisi(he is very predictable)
Yaan salah akiwa kwenye boksi ww jua tu lazima atataka akugeuze ili aweze kupiga kwa mguu wake wa kushoto na hapa ndo anapokosana na watu wengi maana faida zake hizo mbili hapo juu zinampa chance nyingi za magoli ambayo sometimes anakosa na kwa kuwa chance anazopata ni nyingi unaweza kudhan kuwa ni striker butu
All in all liverpool inacheza kitimu zaidi na sio kumtegemea mtu mmoja so wachezaji wote wa liverpool ni wazuri na kila mmoja ana umuhimu wake mkubwa
Huyu jota yuko kwenye kiwango bora sana na anastahili kuanza katika kila mechi kama hawataweza kucheza watu wanne pale mbele naamin mtu yeyote kati ya (salah ,mane au firmino) atampishA jota lakin haimaanishi kwamba huyo mtu ni kikwazo kwa timu
Sidhan km kuna mtu anasema Mo si muhimu, ila kinachosemwa n kuwa kwa sababu Klopp katengeneza fluidity, bas hata Mo asipokuwapo, lfc itashinda tu. Ni simple hivyo tu
Tulishateseka Sana na Liverpool ya akina Sinama Pongole, Voronin, Pellegrino, Carrager,
nk. Sidhani kama itakuja tokea Liver mbovu kama ya kipindi kile.
Hee nmefurahi kuleta mjadala na Mimi watu wanabishana [emoji16][emoji2936]Wale wanaosema Salah sio mchezaji Muhimu/Mkubwa/Bora kwa Liverpool kwasababu tu tumemfunga Leicester City bila ya yeye kuwepo hebu kwanza wajaribu kupitia haya ili tujadili kimpira.
LIVERPOOL 3 - 0 LEICESTER CITY
• Tumeshinda bila ya Salah - Salah sio muhimu
• Tumeshinda bila ya VVD - VVD sio muhimu
• Tumeshinda bila ya TAA- TAA sio muhimu
• Tumeshinda bila ya HENDO - Hendo sio muhimu
Hii tabia ya kuhukumu mchezaji based on one good result ndiyo iliyoleta utata Msimu uliopita wa Washabiki wengine kusema eti Salah auzwe abakishwe Origi kisa tu Oringi aliwaotea Barcelona.
Sasa Origi alihongwa mpaka mkataba mpya anafanya utopolo gani?
Swalehe amekuruhusu mkuu?Anayejua coaching tutorials nazipata wapi anisaidie nataka niwe kocha Sasa
Nipo serious
Huko kwenye utabibu kuna kufaa zaidi.........hayo mambo ya ukocha mwachie tajirimsomiAnayejua coaching tutorials nazipata wapi anisaidie nataka niwe kocha Sasa
Nipo serious
Anayejua coaching tutorials nazipata wapi anisaidie nataka niwe kocha Sasa
Nipo serious
Tafadhali Sana [emoji16]Huko kwenye utabibu kuna kufaa zaidi.........hayo mambo ya ukocha mwachie tajirimsomi
King niko siriasi [emoji38]Unataka kuishusha Timu Daraja lakini unachotaka utakipata [emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16]Swalehe amekuruhusu mkuu?
Sometimes inabidi ucheke kwa hizi comments.Boby kazibyake kubwa ni kuunganisha team kufunga ni ziada tu
Sometimes inabidi ucheke kwa hizi comments.
Kweli!!!! Kazi yake ni kuunganisha??? Na kufunga niziada???? Kweli!!!!!!! Tuweni siriazi Kidogo.