Habari yako ndugu, umepotea sana huku,Jana wamexheza vizuri kwakuwa hakukuwa na kukaa na mpira sana mguuni na choyochoyo haikuwepo, kizuri zaidi Salah hakuepo, hope aone na abadirike acheze kwa team play kama msimu wa kwanza, ila wote tunajua haito happen
Mane amecheza vizuri shida hakuwa na bahati, Firmino shida yake ni mzito
All in all Williams ni mzuri sana na ni mwepesi sana na anafaa kuwa sub ya Trent na ata akampiku trent namba kwa kukaba, strong pass na crosses ni ngum kumfikia Trent
Mimi GiniKati ya Midos Jones, Gini na Keita/Milner nani aliyecheza Vizuri zaidi?
ME: Jones
I think most of the time I saw Robbo is always in great formNext Epl ni damn solid Brighton wako powa sana jamaa..
Itakua full cracker...
With Robertson and Jota in that form sioni wa kutuzuia sasa...
The make of a Champions is finding winning ways when the odds are against us and we have done that in style man..
YNWA
Tangu asajiliwe Tsimikas dogo Robby ameongeza kiwango nadhani aliona ohooo isije kua kama alivyomfanya Moreno....I think most of the time I saw Robbo is always in great form
Hahaha we seem more lethal bila Salah kwa vile kajamaa japo ni kafungaji bora lakini kosa kosa kanakua nazo nyingi sana tu...David James: “I’ve said this before and it’s not that Mo Salah isn’t a great player, it’s just that Liverpool seem to look better without him on the field because there is more fluidity.”
Je Kuna ukweli ?
Hahaha Mane jana haikua siku yake...Jana kati ya MANE na BOBBY nani aliyeboronga zaidi?
ME: Mane Kaboronga zaidi
Keyword "wachache" ndo hufanikiwaBobby mbona alitoka Bundesliga na kakinukisha sana tu
David James: “I’ve said this before and it’s not that Mo Salah isn’t a great player, it’s just that Liverpool seem to look better without him on the field because there is more fluidity.”
Je Kuna ukweli ?
January tusajili beki mzee navoona lakiniNingelikuwa nina nafasi ya kutoa ushauri kwa Liverpool FC basi ningeshauri haya:
• Kwenye Dirisha la usajili la Januari (Winter Window) basi tusisajili mchezaji yoyote hata wa £3M bali tumalize Ligi na hawahawa tulionao.
• Kabla ya Msimu huu kuanza kuna baadhi tulitaka asajiliwe Striker, Beki ya Kati na Mido moja. Wengine tulimpendekeza Werner kwasababu ndiye Top Striker pekee aliyekuwepo Sokoni kwa kipindi hicho but Klopp ametuletea Jota hivyo issue ya Striker almost solved.
• Hivyo kwenye dirisha la July (Summer Window) ningemshauri Klopp asajili mchezaji mmoja tu wa kuanza ambaye ni Midfield iwapo tu kama GINI ataondoka. Lakini kama GINI atasaini mkataba mpya basi sishauri kusajili Midfield yoyote bali nashauri Arudishwe Grujic na Jones apewe nafasi zaidi.
Hivyo tusajili Backup ya Goalie tu na kutulia bila ya kusajili mchezaji mwengine yoyote yule.
Nahisi beki wa kati ni muhimu piaNingelikuwa nina nafasi ya kutoa ushauri kwa Liverpool FC basi ningeshauri haya:
• Kwenye Dirisha la usajili la Januari (Winter Window) basi tusisajili mchezaji yoyote hata wa £3M bali tumalize Ligi na hawahawa tulionao.
• Kabla ya Msimu huu kuanza kuna baadhi tulitaka asajiliwe Striker, Beki ya Kati na Mido moja. Wengine tulimpendekeza Werner kwasababu ndiye Top Striker pekee aliyekuwepo Sokoni kwa kipindi hicho but Klopp ametuletea Jota hivyo issue ya Striker almost solved.
• Hivyo kwenye dirisha la July (Summer Window) ningemshauri Klopp asajili mchezaji mmoja tu wa kuanza ambaye ni Midfield iwapo tu kama GINI ataondoka. Lakini kama GINI atasaini mkataba mpya basi sishauri kusajili Midfield yoyote bali nashauri Arudishwe Grujic na Jones apewe nafasi zaidi.
Hivyo tusajili Backup ya Goalie tu na kutulia bila ya kusajili mchezaji mwengine yoyote yule.
Nahisi beki wa kati ni muhimu pia
January tusajili beki mzee navoona lakini
Kuna watu ukiwasikiliza kauli zao zimejaa upupu wakutosha ni bora ku ignore tu.Aache ujinga kama Shaffih Dauda! MO Salah is a great Player.
Hiyo ni kawaida kwa washabiki wa Soccer wote.
Tulisema hapahapa kuwa Akiumia VVD tumekwisha na hatutoweza kuchomoka! Ameumia Je hatushindi? Kwahiyo according to whom (David James) VVD isn't a great Player?
Tulisema hapa kuwa akiondoka Coutinho tumekwisha! lakini aliondoka tukabeba Makombe Je Coutinho wasn't a great Player?
Ukweli ni kwamba Klopp katengeneza kitu ambacho Makocha wote wa sasa hawana cha kutokumtegemea mchezaji fulani atupe matokeo! Lakini haimaanishi kuwa Mchezaji huyo siyo great Player.
Tulimkosa Mane tukamuangamiza Barcelona, Je Mane isn't a Great Player?
Kwahiyo kukosekana Salah then tunashinda that doesn't mean than Salah isn't a great Player! But Klopp created mysterious team work that doesn't depends on anyone to get the results we want.