Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,307
- 40,110
Amewasikia 😂😂 😂 😂 ....Firmino ingekuwa bongo wangesema amepigwa misumari
😂😂😂😂Amewasikia 😂😂 😂 😂 ....
YNWA
Haka kaneco Wiliam ni kazuri lakini bado kadogo sana kwa EPL
Tumeshaimaliza game sasa wacha niangalie udambwidambwi wa Jones
Hahaha kakosa goli 2 za wazi sana...😂😂😂😂
Timu nzima wamemkumbatia maana alikuwa anaitaji maombi
Mkuu huyu jone nikimuonaga,namfananisha sana na Captain Henderson na mnaanavyocheza.
Foxes tujuane mapema
Apambane we need himHahaha kakosa goli 2 za wazi sana...
Akizidi kujituma makali yatarudi..
YNWA
Simply, tonight's the best performance of the season so far.
SpeakFoxes tujuane mapema