Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Chakushangaza mpaka leo sipati Jibu kwanini Wolves alikuwa hana namba ya uhakika na mara nyingi alikuwa akianzia Benchi.
 
Chakushangaza mpaka leo sipati Jibu kwanini Wolves alikuwa hana namba ya uhakika na mara nyingi alikuwa akianzia Benchi.
Hahaha Nuno ana vimsimamo fulani hivi sijui anafikiliagi vipi...

Kwa mfano Baunsa Traore wanataka kumpa mkataba mpya lakini dogo amegoma kuongeza kwa vile karibia kila gemu anaanzia benchi wakati yeye anataka aanze mwanzo mwisho...

Na bora huyu Jota hakuanzaga kwao mechi zote maana baishara yake ingekua mnada fulani aisee...

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…