Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,917
Duh mwenzio Keita nilishanyanyua mikono juu kabisaaaaa huyu ni wa kuuzwa period...Matip, Robbo, Fabby, Thiago na Keita wako fit kwa ajili ya game.
Utabiri wa kikosi
Golini: Allison.
Beki: Milner, Robbo, Matip na Fabinho.
Katikati: Thiago, Keita na Gini.
Mbele: Jota, Mane na Firmino.
Tutashinda kwa 3 - 1.
Kama pia ada hana aseme tutamchangiaMkuu tafadhari bwana! Tena engineer kabisa? Pitia hata kwa Ras Simba japo kwa miezi mi3 tu!
We jamaa unavitukoKaribu kweny e baraka, ukiibariki Chelsea umebarikiwa wewe na familia yako.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Duh mwenzio Keita nilishanyanyua mikono juu kabisaaaaa huyu ni wa kuuzwa period...
Aanze Jones ni fresh legs ili Gini asaidie upande wa Milner kupeleka mashambulizi mbele...
YNWA
Ile jezi namba 8 sijui ni nzito kwake yaani...Bado nina benefit of doubt kwake, hasa kipindi hiki cha wagonjwa wengi.
Ninaweka Imani ya mwisho kwake kipindi hiki.
Wewe kwako msamiati unaoitwa typ error hamnaga? Mbona unaangaika na vity vidogo?Mkuu tafadhari bwana! Tena engineer kabisa? Pitia hata kwa Ras Simba japo kwa miezi mi3 tu!
Spurs ajashinda darajani ana miaka 30.
Juzi tulimtoa jasho pale kwake..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Keita ni mchezaji mzuri Sana bahati mbaya ana injuriesDuh mwenzio Keita nilishanyanyua mikono juu kabisaaaaa huyu ni wa kuuzwa period...
Aanze Jones ni fresh legs ili Gini asaidie upande wa Milner kupeleka mashambulizi mbele...
YNWA
Unashabikia timu gani?Mnapancha za kutosha na leo mna Shughuli na Vardy kazi ipo.
HahahaaaaaHuyu Gerradi nimeanza kumwelewa
Anather cleanshit
Ile jezi namba 8 sijui ni nzito kwake yaani...
kama sikosei gemu yetu ya kwanza na West Ham Anfield msimu wa 2018-2019 ndio Keita alicheza kama Keita mwenye hadhi ya £60m baada ya hapo sijamwelewa kabisa na sitegemei kumwelewa tena huyu dogo...
Kwangu bado nasimama na Jones ana mapafu ya paka huyu na kwa vile tupo pungufu kiaina basi angetufaa sana...
YNWA
Bila mashabiki wa hizo timu,basi hata ww usingekuwa shabiki wa Liverpool na wala jukwaa hili lisinge kuwepo.Unashabikia timu gani?
Maana kujibizana mashabiki wa manure au asses ni matumizi mabaya ya muda
Ile jezi namba 8 sijui ni nzito kwake yaani...
kama sikosei gemu yetu ya kwanza na West Ham Anfield msimu wa 2018-2019 ndio Keita alicheza kama Keita mwenye hadhi ya £60m baada ya hapo sijamwelewa kabisa na sitegemei kumwelewa tena huyu dogo...
Kwangu bado nasimama na Jones ana mapafu ya paka huyu na kwa vile tupo pungufu kiaina basi angetufaa sana...
YNWA
Nishapata jibuBila mashabiki wa hizo timu,basi hata ww usingekuwa shabiki wa Liverpool na wala jukwaa hili lisinge kuwepo.
Watch his UCL gamesIla kiukweli Keita ile game ya west ham ndo siku alicheza kiwango kuliko siku ingine yoyote.
Mnapancha za kutosha na leo mna Shughuli na Vardy kazi ipo.
Huku majeruhi ,huku Corona yaani tabu tupu,ligi ya msimu huu ngumu sana.Leo ushindi upo mkuu, nakuhakikishia jamaa watakalishwa vizuri tu.
Majeruhi wapo lakini timu bado iko imara.
Huku majeruhi ,huku Corona yaani tabu tupu,ligi ya msimu huu ngumu sana.
Mkuu sidhani kama kuna shabiki wa Liverpool ana doubt na hii talent ya dogo Keita...Jamaa kiukweli inauma sana kukosa kuiona talent ya Keita sababu ya injuries, kuna game ya UEFA dhidi ya Salsberg alikichafua pia. Tulikuwa ugenini tutashinda 2 bila.
Hata game ya Man Utd tulishinda 3 kwa 1 Anfield, yeye na Shaqir walicheza vizuri mno.