Mnatumia nguvu kubwa sana kucheza hiyo gengen press yenu ndio maana majeruhi yanawakabili kwa wingi.
Ili mshinde taji lingine,lazima Klopp asajili kikosi kizima akiandae kwa ajili ya kugombea taji 2025 huko.
Sikuwahi kujua kama liverpool wana mashabiki wenye kelele hivi,soon mnarudi mafichoni alikowatoa Klopp.
Ha ha haaaa hii ndo sababu uliomba asije Liver sasa ndo nimekuelewa mana ni bora uwe na mbovu anae cheza kuliko mzuri asie chezaKwani pancha Thiago amepona...
Hapo kwa Thiago weka Jones acheze upande wa Milner kumsaidia defence na kushambulia pia..
YNWA
Mbona lestercity wana majeruhi sawa na sisi na wao nguvu zimezidi?Mnatumia nguvu kubwa sana kucheza hiyo gengen press yenu ndio maana majeruhi yanawakabili kwa wingi.
Ili mshinde taji lingine,lazima Klopp asajili kikosi kizima akiandae kwa ajili ya kugombea taji 2025 huko.
Sikuwahi kujua kama liverpool wana mashabiki wenye kelele hivi,soon mnarudi mafichoni alikowatoa Klopp.
Bwana wee huyu Thiago mpaka sasa amecheza dakika 135 tu tangu ametua ikianza Covid aafu akaja umia goti ndio mpaka sasa fitness yake imekua ishu hopefully Jumapili atakua amepass fitness test ...Ha ha haaaa hii ndo sababu uliomba asije Liver sasa ndo nimekuelewa mana ni bora uwe na mbovu anae cheza kuliko mzuri asie cheza
Council of elders.Matip 29yrs
Gini 30yrs
Thiago 29yrs
Milner 34yrs
Firmino 30yrs
Henderson 31yrs
Hapo kuna kitu cha kufanya ili kubalance umri wa Wachezaji
Ni mechi za Liver kukabidhi kombe mchana kweupeInanikumbusha Vin alivyoodoka Manchester City wakajikuta katika hali kama hii...
Gemu zifuatavyo ni ngumu kwetu kwa hali tuliyonayo pale nyuma..
Vs Leicester
Vs Wolverhampton
Vs Crystal
Vs Tottenham.
Vs Ajax
Vs Atalanta
Vs Newcastle.
Tunahitaji malaika walinzi wawalinde vijana wetu wasiumie tena kwa kweli..
YNWA
Tutapambana aisee...Ni mechi za Liver kukabidhi kombe mchana kweupe
Ni mechi za Liver kukabidhi kombe mchana kweupe
Kwani majeruhi ni sisi tu au?EPL tutashinda game zote, UEFA tunahitaji points chache makundi.
Kwani majeruhi ni sisi tu au?
Au ni vile benchi letu ni dhaifu?
Natamani sana kutumia browser ila tabu nipale unapotaka kurudi vumilivu unanishinda page hadi page.
Kama kuna namna sijui nisaidie hili
Kabisa Klopp awaminishe tu vijana tunaweza tukazishukuru hizi maana kukomaa na team moja misimu minne ni ngumu lazima uchanganye dam kuipa nguvu mpyaBrowser huna ujanja wa kukwepa pages, walau ufanye settings ya 40 posts per page.
Liverpool pamoja na majeruhi, bado sijaona wa kutunyanganya ubingwa.
Siyo City Wala Chelsea. Isipokuwa injuries imetengeneza kitu tunaita parity, in a sense kwamba tutachukua ubingwa kwa kupishana kidogo na hizi timu tulizoziacha kwa points nyingi last time.
Mtapigwa mpka mchakae msimu huu.Browser huna ujanja wa kukwepa pages, walau ufanye settings ya 40 posts per page.
Liverpool pamoja na majeruhi, bado sijaona wa kutunyanganya ubingwa.
Siyo City Wala Chelsea. Isipokuwa injuries imetengeneza kitu tunaita parity, in a sense kwamba tutachukua ubingwa kwa kupishana kidogo na hizi timu tulizoziacha kwa points nyingi last time.
Mechi nane out of 38 ushasema nyie ni bingwa aisee[emoji23][emoji23][emoji23] timu zinazidiana Point moja mojaBrowser huna ujanja wa kukwepa pages, walau ufanye settings ya 40 posts per page.
Liverpool pamoja na majeruhi, bado sijaona wa kutunyanganya ubingwa.
Siyo City Wala Chelsea. Isipokuwa injuries imetengeneza kitu tunaita parity, in a sense kwamba tutachukua ubingwa kwa kupishana kidogo na hizi timu tulizoziacha kwa points nyingi last time.
Mtapigwa mpka mchakae msimu huu.
Amini Kwamba..
Alachuga ondoa ushabiki Jota na Wener nani mkali kwako.Mtapigwa mpka mchakae msimu huu.
Amini Kwamba..
Mbona lestercity wana majeruhi sawa na sisi na wao nguvu zimezidi?
Nimekupata vyema.Nafasi anayoitaka Leicester City (Top 4) sisi hatuhitaji nguvu nyingi kuifikia.
Kwahiyo lazima ujue kuwa sisi na Leicester tumetofautiana malengo.
Lesta anapigana apate Top 4
Liver anapigana apate Ubingwa.
Hivyo sisi lazima tulie na kusaga meno hatuwezi kuwa Comfortable kama Lesta.
Sawa, Origi, Xhaqir, Minamino, Tsimikas, Williams, Phillips, Jones, unaweza kuwapa nafasi kwa ajili ya kupambania Top 4, Lakini huwezi kupambania Ubingwa kwa Wachezaji hao.
Kwahiyo kuwakosa wachezaji wetu wa kupambania Ubingwa lazima tulie tu.
EPL tutashinda game zote, UEFA tunahitaji points chache makundi.
Nimekupata vyema.
Sioni namna ya kutoboa kama ni lazima kupata majeruhi basi bora tungepata wa mbele na si mabeki.
Watoto wanaeza kua wazuli lakini bila mzoefu ni janga tu.