Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha nacheka sana
 
Ni mimi au mpenzi wangu au wewe ndiyo suzy?
 
It's time now William na Philips wa step up sababu hakuna namna tena. Kumuweka fabinho beki naona kama kumriski zaidi.
Madogo wajikaze tu wataweza.
 
Kuna kipindi nilikuwa najua kwamba jamaa anavyoandika pumba na matusi ni ushabiki tu, ila baada ya kuona hiyo thread nikajua ni zaidi ya ushabiki.

Ukisoma hapo chini utaelewa tatizo ni lilipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…