Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Misimu mitatu iliyopita hatujawahi kutoa draw kwenye ligi pale Etihad, tumekufa 5, 2 kwa 1 na last time 4 bila.
 
Afadhali Boby kuliko yale mizoga anayonunua Jana TAA naye injury


Tunakoelekea cjui
 
Afadhali Boby kuliko yale mizoga anayonunua Jana TAA naye injury


Tunakoelekea cjui

Wewe jamaa utapata Shida sana kutafuta attention kwenye huu uzi.

Usione tumenyamaza jua kuna Watu tunakuangalia tu hapa tukiamua kukushukia utakimbia kama kina Mr. Tajiri walivyokimbia hapa.

Yani unapata shida bure tu! Huna sifa nzuri utakayompa Bobby ambayo sisi hatujawahi kumpa hapa.

Labda jiulize alilipataje jina la Bobby kutoka Firmino.

Once Bobby was our hero but not anymore.
 
. 🤣🤣🤣🤣 Alafu nakuonaga kiherehere flani Amazing flani hivii

Sibishanagi na shabiki ambaye hajawahi kukanyaga hata ANFIELD

Attention unatafuta wewe kubwa jinga

Na mpira wako unaouangalia f...k
 
. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alafu nakuonaga kiherehere flani Amazing flani hivii

Sibishanagi na shabiki ambaye hajawahi kukanyaga hata ANFIELD

Attention unatafuta wewe kubwa jinga

Na mpira wako unaouangalia f...k
Cc. MosDef
 
Man city kaisha maana hata sisi ametufunga moja huku akicheza kwa kulinda hatari...
 
Bhana kitoto Cha malafyale hicho we jamaa

Kijinga kimoja hvi
 
Nmekiambia Jana kiache ujinga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…