kuna game najua kwenye marudiano lazima tuchukue point 3 ,hao man city na everton mechi za marudio pale anfield wataacha point 3.Na bila VVD na Fabby...
Imekaa powa sana...
Progressive attitude..
YNWA
Livapuu tuko vzuri kwa kiasi kikubwa Big man
Sema tu klopp aache loyalty za kipumbavu
Ile desire Ya wachezaji imerudi kwa kiasi kikubwa na hio ndo ngao yetu
I love this team mani mi nko bado nacheki highlight apa ...
mkuu safari hii wametupania sana,tuongeze nguvu tu kwenye ku score ,mkuu hizo hujuma sio mechi hiyo tu hata huko nyuma, mechi na shelfield united faulo imefanyika nje ya box kabisa yaani iko clear ni nje ya box lakini wanaweka penalty yaani mpaka unashangaa .City alipewa penalti baada ya Gomez kunawa kwa box, lakini beki wa city kanawa kwenye box hata VAR hajawekwa, haya mambo ya mareferee siyo bongo tu hata ulaya yapo, ile ngoma angekuwa ni liverpool VAR ingesomwa na tungepigiwa penalti
Kabisa Mkuu mechi za marudiano tunao paleeee Anfield Fortress na sioni tukiwaacha aisee....kuna game najua kwenye marudiano lazima tuchukue point 3 ,hao man city na everton mechi za marudio pale anfield wataacha point 3.
hao sio mchezo,utaishia kutawala mpira kufunga hufungi, arsenal kipindi cha kwanza hawaja piga shot on target hata moja na yuko nyumbani.dak ya 82 arsenal ameshakula 3 bila anashot on target 1Mkuu DullyJr hawa Aston Villa ukiwaruhusu wacheze mpira wao basi ujue huna chako na hapa naona wameliamsha kweli...
YNWA
Nadhani walivyokwepa kushuka daraja msimu uliopita wamekuja na attack attack inawasaidia sanaaa wanakua hawana uogahao sio mchezo,utaishia kutawala mpira kufunga hufungi, arsenal kipindi cha kwanza hawaja piga shot on target hata moja na yuko nyumbani.dak ya 82 arsenal ameshakula 3 bila anashot on target 1
hilo swala ni lakutafutia ufumbuzi, msimu wa 2018/19 kwenye uefa tuliwafunga hapo etihad,sasa hivi imekuwa city akiwa nyumbani atashinda dhidi ya liverpool au draw hiyo draw hapo utakuta city walikosa penalty.ila sisi kushinda haiwezekani . ni dalili nzuri ,ukiangalia na licha ya baadhi ya wachezaji wa liverpool kukosekana.Nikiangalia Misimu miwili iliyopita ndani ya Etihad tumepoteza Mfululizo.
2018/19
Man City 2 - 1 Liverpool
2019/20
Man City 4 - 1 Liverpool
But:
2020/21
Man City 1 - 1 Liverpool
Hii ina kila dalilllllll
Kama nilivyosema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtakuja hapa kuongea baada ya 90mins !!!! Mkijitahidi Ni draw,,,, Hakuna namna yoyote ambayo mtachomoka kwa bwana kipara !!!
Nakubaliana na wewe, mm hadi leo huwa najiuliza Adrian bado anafanya nini pale liverpool?Alisson kwakweli anastahili pongezi za Pekee! Angelikuwa Adrian jana basi pressure ile tungelala mapema sana.
Yani tufungwe 7 na Villa???? Hii haikubaliki hata kama Watu walete sababu zote za Visingizio.