Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp mjuaji sana sometimes damn [emoji30]
 
Klopp mjuaji sana sometimes damn [emoji30]
Sana tu aisee...

EPL hua haiogopi Manchester City walinzi pekee mpaka kama sikosei tangu 2015 wametumia zaidia £300m...akaodoka Kampony hawakusajili kipindi kile beki wa uhakika akaja akaumia Laporte bwana bwana jamaa walipoteana mazima mpaka kuambulia kombe la Carabao tu.. Sasa wamesajili Diaz kwa £64m na Ake kwa £40m kwa vile Pep kashapata somo the hard way bila ukuta imara EPL unaisahau mazimaaa...

The Great Fergie alisema solid defence win you titles and that has been so TRUE...

Ki ukweli nilitegemea kuona Klopp akisajili mbadala wa Lovren.. Wamefanya big analysis ya Kalidou, Ben White na Dayot hivyo pengine wangepeleka ofa kwa mmoja wao ila duh ndio hivyo dirisha likafungwo bila CB kutua mpaka..

VVD tangu ametua January 2018 amekosa mechi mbili tu za UCL na EPL na ukitazama stat zake zinatisha ndugu bila huyu jamaa tumepatikana mazima... Naona Klopp akibank kwa Fabby tu kama karata yake mpaka dirisha lifunguliwe January 2021...

Twende kazi..

YNWA
 
Man u tumeshachukua Point 3

Ajax anakuja kuwashow

Juzi kamshindilia gori tano huko kwao

Haogopi, anafunguka mkimfunga gori tatu yeye anafunga tano[emoji23][emoji23]
 
Majogoo mmeususia Uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yajayo yanafurahisha,,,,moja haikai mbili haikai ,,,,

Mpk January mtapoteana kinoma
 
could be a blessing in disguise......! who knows may be Ryan williams, Sep V, Naths na Billy wataonyesha uwezo wao!

unakumbuka ya Trent na Robbo?
 
could be a blessing in disguise......! who knows may be Ryan williams, Sep V, Naths na Billy wataonyesha uwezo wao!

unakumbuka ya Trent na Robbo?
Klopp is a genius even working with a small unit he know how to get the best of this boys...

Am positive amid all this bad omen that has befallen us with injuries a new dawn is coming...

In Klopp i trust...

YNWA
 
[emoji1][emoji1]
 
Captain vip Tena mbona tunatishana Sasa....tulishajiandaa kisaikolojia toka msimu uanze wenzio so relax ...
Wacha tuone mpaka dirisha dogo kikubwa walio juu tunaweza wamudu..
YNWA
 
Captain vip Tena mbona tunatishana Sasa....tulishajiandaa kisaikolojia toka msimu uanze wenzio so relax ...
Wacha tuone mpaka dirisha dogo kikubwa walio juu tunaweza wamudu..
YNWAView attachment 1607604
Nakusoma Mkuu MmangO vyema sana..

Ishu kuu kuanzia wiki hii mpaka January 2021 kutakua kuna mechi 2 kila wiki hivyo hofu yangu ni Gomez/Matip kua wazima kucheza kila baada ya siku 3 au 4...

Nina imani na vijana na Klopp watafika salama January bado tukiwa kwenye mbio za ubingwa..

YNWA
 
I hope so ...
Tuko hapa leo
Kikosi kazini
YNWA
 
Klopp is a genius even working with a small unit he know how to get the best of this boys...

Am positive amid all this bad omen that has befallen us with injuries a new dawn is coming...

In Klopp i trust...

YNWA
mimi naamini hawa watoto watatuvusha kipindi hiki salama kabisa,, ndio muda wao wa kutuonesha uwezo walioanao!

the most important thing ni front 3 yetu kufunga magoli mengi maana clean sheet zitakua chache[emoji23]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…