Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapana aisee labda humjui vzr Adrian ,jamaa ni pazia sana

Ujue hata UCL ,Liverpool hakutakiwa kutolewa na Atletico ,
 
A goalkeeper must have instincts ambazo adrian hana kabisa zinakuja zinaondoka wewe si shabiki wa liva na Nina uhakika hata mechi zetu unazoangalia ni big match maybe sasa sisi wenzako hadi mazoezi tunaangalia

Game ya arsenal bila kipa wao yule wangekula hata sita ila ubora wa kipa umewaokoa

We know what we are talking about young man
 
Wale wajinga walifanya kama tuna ugomvi wa muda mrefu.

Bora wangeshuka daraja tu msimu ulioisha, lawama zote kwenu mliwaachia dakika za mwishoni.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Msingefungwa goli zote zile aiseee
 
Achana na sisi!

Kapangie Washabiki wa Timu yako unayoshabikia.

Sisi usitupangie cha kuandika wala cha kukosoa au kusapport.
 
Hapana aisee labda humjui vzr Adrian ,jamaa ni pazia sana

Ujue hata UCL ,Liverpool hakutakiwa kutolewa na Atletico ,
Labda kama hujaangalia ile mechi, jamaa alichoma goli moja tu kati ya [emoji2772][emoji3577] waliyobugizwa, na aliclear one v one moja pia, hayo mengine ni makosa ya timu nzima,,,,,
Ninachokiona hapa ni tatzo la nyota tu
 
Niliangalia vzr , zile deflection Hata moja hakuokota ....

Subiri mechi na Everton utaona....

Leo Ricardo momo Anasema Mara mia Karius
 
Wazee wa kucomments kwa english mnaendeleaje mzee Jurgen vipi ameshapona majeraha ya ajali aliyogongwa na bus la astonvilla.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…