Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,414
- 17,873
Jamaa wametoa GD ya 5 kila mmojaHahahaaaaa. 7--2=5
6--1=5
Ukitoa Salah na Robo .
Hakuna mchezaji mwingine alicheza kitu cha maana kikaoneka wachezaji hawana morali hata kidogo upuuzi .
Firminho ndio kaisha kabisaa hana jipya
Gomez ndo kakumbwa sijui na jini mahaba
Adrian king Ngwaba alituambia ni bora ya Karius ×100 nimeamini leo aise.
Goli 7 unasema wameshinda kwa taabu.visingizio havikosekani.wewe kubali kuwa mmefungwa kwa uhalali sio tena unaanza kusema mara hao kwa taabuTumecheza vizuri hilo halina ubishi! Hata ukiangalia ushindi wa Aston Villa basi wameshinda kwa Tabu sana.
Athari za homa ya Corona katika team LFC sio ya kufungwa hivyoYani huyu tokea aokotwe mtaani na kupewa Jezi ya Liverpool nimekuwa nikikosoa usajili wake na kusema bora Karius kuliko huyu! Lakini amekuwa akipatiwa utetezi wa Guinness World Records World Record kuwa ametupa Super Cup.
Tupo pamojaWana Liverpool HALISI tumepoteza mechi,tena tumepoteza kwa aibu LKN tusikate tamaa,ndiyo soka!
Tuache wanao tukana team hapa wafanye hivyo,sisi tuendelee kuwa nyuma ya team.
Klopp atafanya mabadiriko tutakuwa sawa.
What a shit weekend!!!!!
Pole kwa mashabiki waliovaa jezi leo vibanda umiza
Wajipige vifua waseme sisi ni washindi[emoji3][emoji3]
Dogo acha kupenda vidumu baki njia kuu[emoji85]Aibu kubwa hii...
Tunaungana na Manchester united kwa masikitiko ya week nzima