Limeshapatikana π πMmekoswa la 7
Una roho ngumu kama Paka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]7 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zinarudi hizi hata wasiwasi sina
7 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zinarudi hizi hata wasiwasi sina
Tumewapitaaa ππππHebu acheni kutuiga basi
Yaaaani sisi tufungwe 4-1 HT na nyie mtugeze mfungwe 4-1 HT???
Jifunzeni ubunifu tafadhali
Asa ole wenu mfungwe sita kama sisi!!
Tumekufa kifo cha mendeKmmk wanaua
Hahaha tusi kubwa sana iliAston Vila anakula tunda kimasihara huku