Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

😂😂😂

Sitting with ManCity fan and is vexed. His points

* Why did handball/pen review was completed in 15 seconds & #LFC reviews take 5 mins

* Why lfc always play their games after #MCFC have played

* Why is a referee from Merseyside taking charge of City games

My head is hurting

Credit: Indykaila (Twitter)
 
Safari hii sahau msimu wa aina hiyo, hakuna ulozi sasa hivi. Mtapigika nyie mpaka mtashangaa.
 
Safari hii sahau msimu wa aina hiyo, hakuna ulozi sasa hivi. Mtapigika nyie mpaka mtashangaa.
Mpira una matokeo matatu..
Ushindi
Kufungwo
Saree

Tulifungwo msimu uliopita na haikuzuia kulitwaa kombe hivyo hatujasema tunamaliza ligi bila kufungwo mbali ni kupambana tu...

Hivyo hakuna jipya ndugu kila timu ipambane na hali yake..

Ubingwa unarejea Anfield japo ngumu kumeza kwa wapinzani lakini ndio furaha yangu..

YNWA
 
Mwakani Juni Klopp kwa kweli ampate Saint Maximin kutoka Magpies hakika dogo msimu huu yupo moto mno...

Kwa traditional namba 10 ni high level contender...

YNWA
 
vp kwako kuko salama? alafu mechi ya kupoteza sio iv karibuni nibaada ya gap la point 20 iv ndo anza kuombea LIVERPOOL kufungwa
Jana nimem'buruza mtu nne huko ..sisi huwa tunapiga nne nne tu na kuendelea.. sasa leo Aston Villa pale villa park hawatotuangusha kabisa.

Kila kheri AstonVilla
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…