Mission ya pili against Arsenal. uzuri mpira sio kama kutongozwa kwamba kuna option ya kukubali au kukataa, ukiwa mbovu utapigwa tuu hata mara 100 mfululizo, klop aweke full mzigo tuanze na hiki kikombe
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Dah! Msimu huu sina Full Fixtures yetu ya EPL, Next game tunacheza na nani?
Me hicho kikosi cha pili huwa nakikubali pia kwa ile Arsenal goi goi watakaa tu [emoji1]Klopp Awezi weka full kikosi kwenye carabao. Hi ni game za kina Origi, Minamino, Shaqiri, Milner, Adrian na wengineo
. Acha mkuu msimu huu wako vzr Sana mkuEverton ushindi wao kwetu ni droo tu
Wacha kuandika ujinga, wachezaji wamekuja juzi tu hapa subiri First Round imalizike ndo uongee.Klopp huyu ni kocha mwenye kujua matumizi sahihi ya akili tunajivunia kuwa nae.
Nnachoona anatafuta backup ya kila mchezaji wa first eleven yetu taratibu bila kuvamia soko kama kina Chelsea .niliposema wamejaza machezaji mengi kwa wakati mmoja ollachuga akabisha .
Ona sasa hata lampard mwenyewe hajui atawatumia vipi..
Hakunaga mjerumani mjinga
Wanazingua hawa ni mashabiki wavamizi.Kwa hiyo wewe ukisajili ndio wachezaji ila wenzio wakisajili ni machezaji,
unaonekana unaumizwa timu zikisajili kama anavyoumia kocha wako vile [emoji16]
Wewe ulisema hutocomment tena mkifungwa mkuu.Wacha kuandika ujinga, wachezaji wamekuja juzi tu hapa subiri First Round imalizike ndo uongee.
Kwani hii liverpool tumechukua Muda gani hadi kukaa sawa? Wacha ushamba mkuu.
#CFC 💙💙💙
Vipi kuhusu pancha zile kina timotheo kai na madude mengineThiago Alacantara ameondoka Bayern ana struggle kupata ushindi. Hii iliwahi kuikuta Liverpool kipindi alivyoondoka Alonso Xabi.
Wanakocha ambae anarecord nzuri na Klopp hiyo ndio sababu ngumu kwa sasa .Everton wapo fire Sana msimu huu
Huyu lewin daaaa dadeki zake atatuumizia vijana
. We acha 2 mkuu najaribu kuwaza hapaWanakocha ambae anarecord nzuri na Klopp hiyo ndio sababu ngumu kwa sasa .
Everton wapo fire Sana msimu huu
Huyu lewin daaaa dadeki zake atatuumizia vijana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Timu gani ngumu wameifunga? Hizo story kama za Arsenal walijiona wako fire kumbe kulingana na timu walizokutana nazo.
Jamaaa hutaki masiala kabsaa na timu yako nakukubali sana yani upo siriasiTimu gani ngumu wameifunga? Hizo story kama za Arsenal walijiona wako fire kumbe kulingana na timu walizokutana nazo.