Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acha woga hao wanafunga kwao tuuu
 
Kitu ambacho sio cha kawaida mpaka sasa tumefanya only 1 mistake kwenye defence yetu ambayo imezaa goli.
Hii ni kuonesha kuwa kuna maboresho flani yamefanyika kwenye defence yetu.
 
Arteta tayari kuna kitu ameshakiotea kwa Klopp! Hivyo Klopp anapaswa kubadilisha approach kila anapokutana na Arteta.
 
Salah msimu huu kwanza na Moto tofauti na season iliyopita.
Kwenye magoli yote mawili amehusika kwenye build up.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…