[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] AbsolutelyGuardiola ni Chequebook Manager! Sasa Tajiri wake alipoona FSG hawavamii Soko kumwaga Mamilioni kila Msimu lakini Klopp anashinda Makombe, akaona nayeye kwa Man city Guardiola ataweza, Hivyo kuanzia Msimu uliopita na Msimu huu kaamua kupunguza Budget ya Usajili akiamini bila ya £300M alizozowea kumwagia Guardiola kila Msimu ataweza kufanikiwa! Ona sasa [emoji23][emoji23]
Backbone ya Mafanikio ya Man City ilikuwa ni Watu hawa Wanne:-
1) Kompany
2) Fernandinho
3) KDB
4) Aguero
Sasa kabakia KDB peke yake ndiye mwenye uhai, sasa wale kina Rodri na Foden ndiyo ashinde EPL? [emoji16] Wana tofauti gani na kina Joginho na Kovacic? [emoji23]
Tulipoishia ñdio tunaendelea, tafuta shimo kabisa,Sasa ni sisi wenyewe tu kumgegeda Arsenal tumsubiri Mwari wa EPL.
[emoji23][emoji23]mkuu punguza maneno makali hawa bado watoto.Henderson sawa! Lakini nawewe huwezi kumfananisha Fabinho na takataka hizo.
Hakuna Timu kwasasa isiyotamani kuwa na mchezaji aina ya Fabinho, au umeshasahau alivyomfanya Werner aonekane kama Molinga?
Yaan mkuu ukikutaka mahali Chelsea wamepigwa mawe wewe huwa unaongezea na nondo .[emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Absolutely
Hakuna timu isiyotamani kuwa na Kovacic tena cha kushangaza zaidi the worst Jorginho akiwa kwenye flop Arsenal wanaonyesha interest kumuhitaji.Henderson sawa! Lakini nawewe huwezi kumfananisha Fabinho na takataka hizo.
Hakuna Timu kwasasa isiyotamani kuwa na mchezaji aina ya Fabinho, au umeshasahau alivyomfanya Werner aonekane kama Molinga?
We nawe shughuli huna muda si mrefu kelele zitaishaNa huo moto unawawakia leo, View attachment 1583553
Swap na Guendouzi, kwa hela hatuwezi sajili mchezaji kutoka Chelsea kama bure sawa.Hakuna timu isiyotamani kuwa na Kovacic tena cha kushangaza zaidi the worst Jorginho akiwa kwenye flop Arsenal wanaonyesha interest kumuhitaji.
Mkuu,wewe Arsenal huwa inakutesa sana, na tutakukera sana [emoji1787]We nawe shughuli huna muda si mrefu kelele zitaisha
Hahaha mkuu Southern Highland nakusoma vyema nashukuru pia kwa ushauri wako...Mkuu ni mapema sana kusema EPL msimu huu inakuja Anfield ndio kwanza tuko game week 3.
Weka akiba ya maneno.
Tena roho ya Billy ShanklyHalafu Mashabiki wa Liverpool ni Wastaarabu sana hata hawajibizana na Wewe. Anyway ngoja hiyo J3 ifike maana iko hivi Mtoto wa Kiume huwa anasema yeye Mwanaume lakini Mwanaume yey Hutenda tu hana maneno. Wenger Arsene alishasema pale Anfield ule uwanja una roho.
Umetabili ushindi kidogo sana huu aiseeeee, hao Arsenal natarajia wafe 4+Full time:Liverpool 2 Arsenal 0.
Huyo mgunduzi anaingia mara 3 kwa Conor Gallagher. Hatuwezi kufanya biashara kama hiyo na wakati mtu kama huyo tumemtoa kwa mkopo.Swap na Guendouzi, kwa hela hatuwezi sajili mchezaji kutoka Chelsea kama bure sawa.
Shida mna kelele mkiambiwa ukweli mnasema sisi tunatesekaMkuu,wewe Arsenal huwa inakutesa sana, na tutakukera sana [emoji1787]
Full time:Liverpool 2 Arsenal 0.
Mimi kiukweli msimu huu siwaoni mkinyanyua kwapa EPL. Labda makombe mengineHahaha mkuu Southern Highland nakusoma vyema nashukuru pia kwa ushauri wako...
Toka ametua Klopp mipango ni nafasi ya kwanza tu na hakuna kingine japo tumeishia kuipata mara 1 tu 2019-2020..
Ukishabikia Liverpool tuna msemo wetu kutoka kwa gwiji Bill Shankly "1st is 1st second is nothing" hio ndio mind set yetu..
Na upo sahihi ligi bado ipo wazi mno kila timu ina nafasi ya kushinda EPL..
YNWA