Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwamba arsenal ndo itakua timu ya kwanza kumfunga Liverpool anfield [emoji23]

Arsenal hii na liver hii yenye fabinho as new Cb maana ni kama tumesajili CB mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]

[emoji23]
 
Yupo njiani anakuja Mwakani sio mbali....[emoji23][emoji23]Akitua huyu kiumbe kuna watu watapewa hodi za maisha pale muhimbili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kudadeki, dunia haipo fair, Thiago Alcantala watatu na pesa juu sawa na Kepa mmoja[emoji23]
 

We unadhani Livapuli inaweza kutoboa kwa Arteta?? Sahau hilo..


#COYG
tunaanza kuvuruga hesabu za ubingwa wa mtu hapo Jumatatu.... Tunamwaga mchanga kwenye pilau

#COYG
#COYG


Naona unatafuta umaarufu kama Olachugga, na inaonekana hata mpira huujui ila unafosi tu kwa kuandika vitu visivyo na maana, eti Liverpool inapigwa bila kuelezea Arsenal mmejipanga vipi? na mnakuja na game plan ipi? na Benchi la Ufundi la Arsenal linaiongelea hii mechi? Acha kutafuta umaarufu kunuka wewe.
 
Unauliza kujipanga??? Uliza nilijipanga vipi mpaka nikabeba Comm. Shield mbele yako ..... Huna Jipya subiri kunyonyolewa tu

#COYG
#COYG
 
Unauliza kujipanga??? Uliza nilijipanga vipi mpaka nikabeba Comm. Shield mbele yako ..... Huna Jipya subiri kunyonyolewa tu

#COYG
#COYG

Halafu Mashabiki wa Liverpool ni Wastaarabu sana hata hawajibizana na Wewe. Anyway ngoja hiyo J3 ifike maana iko hivi Mtoto wa Kiume huwa anasema yeye Mwanaume lakini Mwanaume yey Hutenda tu hana maneno. Wenger Arsene alishasema pale Anfield ule uwanja una roho.
 
Mkuu umenifanya nicheke sana leo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwa hiyo wewe siyo mstaarabu, mbona wajibizana sasa?
 
THIAGO ALCANTARA

Pasi Inapigwa Kwa Unyenyekevu Na Ufundi Wa Kiwango Cha Level Za Mbali Kabisa.

Thiago Anakupigia Pasi Kulingana Na Ulivyo Kama Mweusi, Mzungu, Unatumia Mguu Wa Kulia, Kushoto Au Una Spidi Sana Pia Umri Anazingatia.

Epl Haijapata Shuhudia Kiungo Kama Thiago Toka Ianzishwe, Hakika Thiago Amewafanya Viungo Uchwala Wa Timu Dhaifu Ya Chelsea Waonekane Vitunguu Maji.

MUHIMU; Thiago Huwa Akosei Na Akikosea Tunambebesha Lawama Mtu Mwingine, Jama pili TAA Alizngua Alimwachaje Werner Mpaka Akamkaribia Thiago Na Kusababisha Penati!!

Arsenal Nawakumbusha Tu Njia Ya Kwenda Peponi Ni Kifo.
 
Wana Liverpool tusibweteke kwa ushindi wa majuzi dhidi ya Chelsea,ukiangalia kwa umakini kipindi cha kwanza ambapo Chelsea hawakuwa na red card ni dhahiri bado kuna uzembe pale mbele.

Tunashukuru kwa ile red card but kwa jinsi nilivyoiona ile game kama Chelsea wangekuwa wote kipindi cha 2 kama tungeshinda basi ingekuwa kwa ushindi mwembamba sana.kikosi chetu bado kinahitaji mabadiliko has a mbele.
 
Wewe siyo shabiki wa liverpool ni mamluki sijui umetokea wapi tu? Kwahiyo ulitaka acheze upuuzi halafu aachwe tu aendelee kuvuta wenzake mabega?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…