Una siku 6 tu za kuendelea kujishaua humu,Inakubidi uzitumie vizuri kama mwenzio Ollachuga Oc alivyotumia.Wacheni ngonjera zenu hapa... Wakati mnatuachia ubingwa wa Community shield huyo FABBY hakuwepo??????..... WE ARE UNSTOPPABLE....
Hii arsenal ni "GUSA UNASE"
#COYG
#COYG
#ARSENAL MABINGWA EPL 2020/2021
Sisi sio sawa na wale wanaookota wachezaji majalalaniUna siku 6 tu za kuendelea kujishaua humu,Inakubidi uzitumie vizuri kama mwenzio Ollachuga Oc alivyotumia.
Wacheni ngonjera zenu hapa... Wakati mnatuachia ubingwa wa Community shield huyo FABBY hakuwepo??????..... WE ARE UNSTOPPABLE....
Hii arsenal ni "GUSA UNASE"
#COYG
#COYG
#ARSENAL MABINGWA EPL 2020/2021
Nishasema na narudia tena. NIKIFUNGWA ANFIELD SIKATIZI JUKWAA HILI MPAKA MSIMU UJAO 2021/2022..... haiwezekani nifungwe na timu iliyojichokea kama Liverpool. Liverpool hii juzi imenipa Community shield halafu leo inanitishia nyau????Mkuu Mechi na Liverpool pale anfield,ndio itakuwa kipimo chenu,maana mapungufu yenu yataoneka tu.
Liverpool sio timu ya kumtegemea mtu mmoja,kama Arsenal star ni mmoja tu.
Arteta akipata draw itatoa picha ya ubora wake,anfield kugumu sana,msimu ulioisha burnley pekee yake ndio alijitahidi akapata draw wengine wote vipigo.
Mashabiki wa Arsenal msijisahau kwa mechi mlizopata ushindi hizo,anfield mkapata Aibu, kama mnavyopataga miaka yote.
Ebu tuwekee kwanza H2H ya Klopp na Arteta ili tuamini maneno yako.Sisi hatuhisi bali tuna uhakika! Hakuna kocha aliye juu ya Klopp linapokuja suala la H2H.
Huyo Arteta asubiri Kiama chake tu.
Akikujibu uniTagEbu tuwekee kwanza H2H ya Klopp na Arteta ili tuamini maneno yako.
#Coyg[emoji837]
Looserfools kutufunga Arsenal sahau hilo! Mtajuwa hamjui! Jumapili nawahakikishia mtakimbia wote humu na lawama zote mtamtupia Keita na Tako Minamino
Yaaani sijui anasubiri kuodoka lini hata bure kama Super Mario...
Sijaona hata kwa mkopo timu ikisema inamtaka...
YNWA
Ebu tuwekee kwanza H2H ya Klopp na Arteta ili tuamini maneno yako.
#Coyg[emoji837]
Naona unatembelea njia za Ollachuga Oc mwenzako alianza na ngebe mwisho akaja na ahadi Kama yako. Utapigwa kipigo cha mbwa kokoNishasema na narudia tena. NIKIFUNGWA ANFIELD SIKATIZI JUKWAA HILI MPAKA MSIMU UJAO 2021/2022..... haiwezekani nifungwe na timu iliyojichokea kama Liverpool. Liverpool hii juzi imenipa Community shield halafu leo inanitishia nyau????
#COYG. #COYG
#ARSENAL MABINGWA EPL 2020/2021
Kijana ushatafuta umaarufu kwenye jukwaa La chelsix inatosha . Ila humu umeingia zone ya mabingwa huku hatubishani maneno huku ni vitendo tu .Hizi kelele zote nazimaliza Jumapili. Baada ya Jumapili jukwaa hili litakua mali yetu ARSENAL, THE GUNNERS. mnashindwa kuwafunga timu dhaifu kama Chelsea wakiwa kamili mnategemea mtatuweza sisi??? Tulichowafanya juzi kati tuta double . AUBAMEYANG ! AUBAMEYANG!
FT: Looser fools 1-3 ARSENAL
Ni kweli ni suicidal...Hakuna Timu inayoweza kumtaka Karius hata bure achiliambali kwa Mkopo.
Kila Timu inajuwa wazi kama kuwa na Karius ni Suicide.
Mechi yetu na Arsenal ni Jumatatu saa nne na robo..Nitakujibu Jumamosi mana najua unaringia Kigemu chako cha last season
Mwenzako ollachuga alikua na kelele sana humuLooserfools kutufunga Arsenal sahau hilo! Mtajuwa hamjui! Jumapili nawahakikishia mtakimbia wote humu na lawama zote mtamtupia Keita na Tako Minamino
Kwamba arsenal ndo itakua timu ya kwanza kumfunga Liverpool anfield [emoji23]Mkuu Mechi na Liverpool pale anfield,ndio itakuwa kipimo chenu,maana mapungufu yenu yataoneka tu.
Liverpool sio timu ya kumtegemea mtu mmoja,kama Arsenal star ni mmoja tu.
Arteta akipata draw itatoa picha ya ubora wake,anfield kugumu sana,msimu ulioisha burnley pekee yake ndio alijitahidi akapata draw wengine wote vipigo.
Mashabiki wa Arsenal msijisahau kwa mechi mlizopata ushindi hizo,anfield mkapata Aibu, kama mnavyopataga miaka yote.
Wewe ndie yule anaitwa mshabiki maandazi(sorry for this name) , maana hata Haujui Ratiba za gemu, sasa tutakuamin vipi na porojo zako??? Cheki vizuri hiyo game ya Liverpool vs arsenal ni jumapili???Nakuhakikishia Jumapili mtakimbia hili jukwaa.. majogoo tunawanyonyoa kwa maji ya baridi....... Huu uzi mtauona kituo cha polisi. Mtakimbia kama wenzenu Blauzi FC wametutelekezea jukwaa lao kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na sisi bila hiyana tumelipokea jukwaa na sasa linaitwa "ARSENAL SPECIAL THREAD 2" tunataka jumapili na hili pia liwe jukwaa letu namba3
#COYG #COYG #COYG
KIPIGO KIKO PALEPALEWewe ndie yule anaitwa mshabiki maandazi(sorry for this name) , maana hata Haujui Ratiba za gemu, sasa tutakuamin vipi na porojo zako??? Cheki vizuri hiyo game ya Liverpool vs arsenal ni jumapili???