Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool Liverpool Liverpool Liverpool Liverpool Liverpool


Champion champion champion champion champion champion

Arsenane Mkuje mkuje na au wenu
 
Hizi kelele zote nazimaliza Jumapili. Baada ya Jumapili jukwaa hili litakua mali yetu ARSENAL, THE GUNNERS. mnashindwa kuwafunga timu dhaifu kama Chelsea wakiwa kamili mnategemea mtatuweza sisi??? Tulichowafanya juzi kati tuta double . AUBAMEYANG ! AUBAMEYANG!
FT: Looser fools 1-3 ARSENAL
 
Uzuri siku hazigandi. Wacha tusubiri
 

When you're here you must behave yourself
 
THIAGO ALCANTARA

Pasi Inapigwa Kwa Unyenyekevu Na Ufundi Wa Kiwango Cha Level Za Mbali Kabisa.

Thiago Anakupigia Pasi Kulingana Na Ulivyo Kama Mweusi, Mzungu, Unatumia Mguu Wa Kulia, Kushoto Au Una Spidi Sana Pia Umri Anazingatia.

Epl Haijapata Shuhudia Kiungo Kama Thiago Toka Ianzishwe, Hakika Thiago Amewafanya Viungo Uchwala Wa Timu Dhaifu Ya Chelsea Waonekane Vitunguu Maji.

MUHIMU; Thiago Huwa Akosei Na Akikosea Tunambebesha Lawama Mtu Mwingine, Jana TAA Alizngua Alimwachaje Werner Mpaka Akamkaribia Thiago Na Kusababisha Penati!!

Arsenal Nawakumbusha Tu Njia Ya Kwenda Peponi Ni Kifo.

(Nimeikopi sehemu [emoji23])
 
Sisi hatuhisi bali tuna uhakika! Hakuna kocha aliye juu ya Klopp linapokuja suala la H2H.

Huyo Arteta asubiri Kiama chake tu.
Looserfools kutufunga Arsenal sahau hilo! Mtajuwa hamjui! Jumapili nawahakikishia mtakimbia wote humu na lawama zote mtamtupia Keita na Tako Minamino
 
Looserfools kutufunga Arsenal sahau hilo! Mtajuwa hamjui! Jumapili nawahakikishia mtakimbia wote humu na lawama zote mtamtupia Keita na Tako Minamino
Kuna mwenzako jana alikuja hapa na maneno yake ya ovyo hovyo kama haya na kuahidi akifungwa atajipiga burn mpaka mzuko wa kwanza wa ligi uishe, uenda mpaka sasa atakuwa anahala huko Chuga
 
Kuna mwenzako jana alikuja hapa na maneno yake ya ovyo hovyo kama haya na kuahidi akifungwa atajipiga burn mpaka mzuko wa kwanza wa ligi uishe, uenda mpaka sasa atakuwa anahala huko Chuga
Ollachuga ni kichwa cha Mwendawazimu. Amesahau Chelsea ni kama Namungo Fc tu! Sisi Arsenal tunajua namna ya kukushikisha adabu.
 
Nakuhakikishia Jumapili mtakimbia hili jukwaa.. majogoo tunawanyonyoa kwa maji ya baridi....... Huu uzi mtauona kituo cha polisi. Mtakimbia kama wenzenu Blauzi FC wametutelekezea jukwaa lao kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na sisi bila hiyana tumelipokea jukwaa na sasa linaitwa "ARSENAL SPECIAL THREAD 2" tunataka jumapili na hili pia liwe jukwaa letu namba3


#COYG #COYG #COYG
 
Shaqir na Chambo wote wapo hoi kwa dokta sioni wakiuzwa ndugu...

Brewster ishu ipo kambi yake wao wanataka auzwe mazima Klopp anakomaa aodoke kwa mkopo...

YNWA
 
Mkuu hapo tupo wote kwa kweli Auba anatisha sio straika mwepesi na sasa yupo kwenye moto...

Ushindi wa jana na huu loading wa Carabao naamini utazidi kuwajenga vijana kwamba inawezekana tena kupiga pointi 90+ ama 100+ na rasmi kuchukua kombe letu la 20...

Fabby jana alitembea mpaka na kivuli cha jamaa TimoπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“...

Bring the Gunners we ready...

YNWA
 
Wacheni ngonjera zenu hapa... Wakati mnatuachia ubingwa wa Community shield huyo FABBY hakuwepo??????..... WE ARE UNSTOPPABLE....
Hii arsenal ni "GUSA UNASE"

#COYG
#COYG
#ARSENAL MABINGWA EPL 2020/2021
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…