Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool HALISI
Tusisahau kuishangilia team leo
Matokeo yyt tuyakubali na tusitukane team
Tuwaache Liverpool maslahi watukane team

Hahahah mwanafyale huwa unanifurahisha sana hiyo code eti Liverpool halisi😆
 
Huyo mwingine ndo cop halisi sasa, kwanza anahudhuria mara nyingi Anfield, anajua kuuchambua mpira utafikiri kazaliwa nao, yupo vzr, sasa wewe Mr. naniliu mpira unaangalia vibanda umiza kama mimi unajiita Liverpool halisi, si dhihaka hiyo?

Hahahahaha
 
Leo jogoo ananyonyolewa manyoya chin ya daraja [emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pigeni hao Mbwa darajani palepale. Vunja daraja. Sisi Kama Arsenal Tumekubaliana kubeba sururu na kila kifaa mtakachohitaji kuvunja daraja. Piga hao
Baada ya kuvunja daraja unajua Liverpool mechi inayofuata atakutana nanani?,sasa wewe endelea kujichekesha Liverpool akitoka darajani anakuja kukubaka wewe hadharani.
 
Hahaha chaliangu njoo Orlando tuangalie hii mechi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…