Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Sorry, kuna watu wanaamini kuwa kwa kuwa Mane ni mSenegali eti Sarr naye atafikia uwezo wa Mane kwa kuwa tu wote wanatoka senegali. Hii inanikumbusha Devid Moyes alivyopewa United aiongoze kama kocha eti tu kwa kuwa na ni mscotch Kama ilivyokuwa kwa mzee Ferguson. Kama tunataka kuingia seriously kwenye usajili tutafute strike mwenye uwezo wa ku offer at list goal 20 kwa msimu. Pale ufaransa wapo na bei ni rafiki pia.
Kwani huyo Sarr ni sraika?

Ni mjuavyo ni winga ya kulia na uwezo anao kwa umri wake akiwa na juhudi atamzidi Mane umaalufu
 
Hamuishi malalamiko!!!!! firmino ni false no 9.anatumika kama playmaker pale mbele so kama unapata ushindi tulia hivyohivyo usijiguse
kwani kuna sehemu nimesema Firnino sio false 9?

Inawezekana umetanguliza mahaba au ujaelewa point yangu!

Tunahitaji striker mwingine wa kumsaidia firmino, jamaa anaonekana kazidiwa na majukumu peke yake

Kwanza kitendo cha kumkosa Werner kinaniuma sana
 
kwa jinsi nilivyoi assess backline yetu kwenye hizi games za karibuni, inahitaji protection zaidi kutokea kwenye engine room.... so I'll go for the double pivot option with Fabinho & Thiago providing the much needed protection at the base of the triangle capitalising on Thiago's play-making ability from deep.

in the diagram below, just look at the midfield structure, don't mind the names:

20200918_063311.jpg
 
View attachment 1573004
Ook... For double pivot ya hao jamaa ili inoge zaidi we need ball carrier akae kwa mbele awe link kati yao na front 3..Keita is the perfect candidate.. But for Chelsea i would go with Gini.. Niliona gemu ya Les Blues na jamaa sasa with pace ya Timo wanapiga counter muda wote so Keita hanaga mbio that why game hii aanzie benchi....

But with Klopp usishange ukamuona Hendo na Milner wakianza 🤓🤓🤓🤓

YNWA
 
Klopp puts his belief more on what he gathers from the preparatory training sessions than anything.... so, yes, i wouldn't be surprised akiwaanzisha Hendo & Milner because of that only.
 
Starting Milner and Hendo will be suicidal vs new look Blues, mate even if they do wonders in training they aint ball carriers or at least Milner is but his legs are no longer that cool for a game of that calibre...

Gaffer should go with Thiago Fabby Gini..

am with you... but tell that to Klopp halafu umsikie atachokwambia... hahahaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom