Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Game ya mwisho tumewachapa goli tatu japo mlishinda tano, saaa tuna Werner, Kai, mtachomoka kweli? Achana na Le Kaputein Amerika, New Hazard, Pulisic Christian ..je mnapakutokea apo darajani?
Sawa mkuuDeals za kutangaza biashara fulani.
Mfano hapo Salah ana mkataba na Vodafone ya kwao Egypt na ana mkataba na Adidas.
Wakuu naweza onekana kichekesho ila nina tatizo la kutosikia. Mnaweza nipa matamshi ya jina la kocha wenu.
Jurgen Klopp
Me nalitamka Jajen Kilopu😂
Ninyi mliruhusu magoli mangapi?Nyie game moja muliyocheza anfield recently mlikula ngapi?
Zouma mkata umeme ..tulia jumapili utamwelewa..Salah ajipangeYa zouma nae unamuona beki kweli?
Ulanzi tena? Kwa Ubora wa beki zenu na kipa Bora wa dunia mnaruhusu magoli sita ndani ya game mbili tena nyumbani!! Juzi bila ya zile penati mbili unadhani mngeshinda? Sasa usitegemee kupata penati darajani.Dogo achana na Ulanzi utakufa
Vile Kai Azilabaragala anavyoisubiri kwa hamu game ya liver[emoji1787]U
Ulanzi tena? Kwa Ubora wa beki zenu na kipa Bora wa dunia mnaruhusu magoli sita ndani ya game mbili tena nyumbani!! Juzi bila ya zile penati mbili unadhani mngeshinda? Sasa usitegemee kupata penati darajani.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
hapana mkuu, ukiangalia jinsi liverpool wanavyocheza, huwa hawachezi mpira mzuri ila tunapata matokeo. Mara chache sana tunacheza mpira mzuri na wa kuvutia. Zile goals tulizoruhusu kwa leeds nadhani ni makosa ya kimchezo na naamini kabisa hili halitajirudia tena. Kloop lazima alifanyie kazi hili eneo la ulinzi. Still Gomez na VVD ni mabeki wazuri na wanaelewana wanapocheza wote.Nakuhakikishia hapa hatuna timu ya kumfunga Chelsea, na tukicheza kama tulivyocheza na Leeds kama walevi wa Gongo tunakufa si chini ya Goli 3 mpaka 4.
Hello kops muda kidgo sipo active. Ila kwa hili nimetafuta dk 2 hizi nilete hili.
WameishaView attachment 1572235
I will believe it when I see him with a Liverpool kit.Hello kops muda kidgo sipo active. Ila kwa hili nimetafuta dk 2 hizi nilete hili.
WameishaView attachment 1572235
Chagua langu ni Houssem wa Lyon angekua chagua bora kabisa kutua kwetu ila kwa wakati huu hata Thiago aje tu kuliko dirisha lifungwe bila usajili kuboresha 1st 11...Thiago Tayari ni mchezaji wa Liverpool na atavaa jezi namba 6
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
hahaaaaa, that's funny boss..... kuongeza idadi ya vichwa siyo?Chagua langu ni Houssem wa Lyon angekua chagua bora kabisa kutua kwetu ila kwa wakati huu hata Thiago aje tu kuliko dirisha lifungwe bila usajili kuboresha 1st 11...
YNWA