Mechi moja tu naona vijana mnalalama Sana.
Mkubaliane na hali ya sell and buy ya hawa matajiri maana ndio itaifanya miaka 100.klabu isije filisika kama kipindi kile bado kidogo tushushwe daraja.
Uzuri ni kuwa tuna wachezaji wa kupata pesa. Sio kama klabu nyingine. Ndo maana wanawekeza snaa kwa vijana ambao utaweza kuwauza baadae.
Matokeo ya Leeds wala hayanipi hofu mama wengine.
Gomez huyu huyu alicheza mechi KIBAO na vvd na kuruhusu magoli machache Leo mnamuona hafai. Eti na vvd mnasema nawazingua[emoji23][emoji23][emoji23] serious?? Huyu aliyeibadili kabisa Liverpool mnataka mumkatae Leo.
Kwa firminho ni a mechoka mwili tu na wala sio Kwamba hana form vizuri. Klopp anatakiwa ampe off ya hata mechi 3 bench amuweke minamino au origi.
Wengine eti thiago angekuwepo Leeds wasingepata magoli. Hata huko Germany Kuna timu zinaivurugaga bayern na thiago akiwepo.
Yaliyotokea ni makosa ya kimpira na kocha atayafanyia kazi. Walete Chelsea tujipigie Lampard alielie tena. YNWA
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Ooh Ahsante
Kwa sasa ndugu niseme tu ninachotaka ni pointi 3 kila gemu kosa kosa basi draw π»π»π»....Nakuhakikishia hapa hatuna timu ya kumfunga Chelsea, na tukicheza kama tulivyocheza na Leeds kama walevi wa Gongo tunakufa si chini ya Goli 3 mpaka 4.
Mechi moja tu naona vijana mnalalama Sana.
Liverpool ilipotaka kufilisika si kwasababu ya usajili Kwani kipindi hicho haikiwahi kusajili mchezaji wa bei ghali hata mmoja.Mkubaliane na hali ya sell and buy ya hawa matajiri maana ndio itaifanya miaka 100.klabu isije filisika kama kipindi kile bado kidogo tushushwe daraja.
Uzuri ni kuwa tuna wachezaji wa kupata pesa. Sio kama klabu nyingine. Ndo maana wanawekeza snaa kwa vijana ambao utaweza kuwauza baadae.
Matokeo ya Leeds wala hayanipi hofu mama wengine.
Gomez huyu huyu alicheza mechi KIBAO na vvd na kuruhusu magoli machache Leo mnamuona hafai. na vvd mnasema nawazingua[emoji23][emoji23][emoji23] serious??
Msimu mzima uliopita our Centre Forward hakucheza vizuri kabisa sasa kwa point ipi amechoka? Ivi Mchezaji alichoka msimu mzima kweli? Miezi 3 ya Corona bila Football hakuwahi kupumzika leo unasema atapumzika kwa mechi 3?????????Kwa firminho ni a mechoka mwili tu na wala sio Kwamba hana form vizuri. Klopp anatakiwa ampe off ya hata mechi 3 bench amuweke minamino au origi.
[emoji23][emoji23]Football spending giants
Hawa wa marekani ndo wametuletea Klopp wamgeweza kumleta hata rednapp.Hivi hii timu ilivo na brand kubwa haiwezi kupata mmiliki muarabu kweli au mrusi aifanye itawale 10 seasoz hawa takataka wa kimarekani waiache hii timu
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hahahahahahahahah Eti Tupige hawa watoto Juzi tu hapa Arteta ametupangia watoto wake tumewashindwa Umeshasahau Mkuu....RekodiHawa wa marekani ndo wametuletea Klopp wamgeweza kumleta hata rednapp.
Hawa wa marekani wametupa karibu kila kombe ndani ya 4 years. Tulieni wale ndo mabosi na ndo wanajua nini wa nafanya. Inabidi mkubali tu kuwa Klopp Ana first 11 yake na hawezi kubadili hata aje nani. Na ndo maana haangaiki na mchezaji mwingine unless auze kama sera ya wadosi inavyosema.
Man City mwaka jana kasajili lakini akaishia na capital Cup.
Man u amesajili kishenzi tangu fergie aondoke lakini patupu.
Klopp anasjili kwa mpango na mahitaji yake. Tusimpigie kelele.
Tulieni angalieni soka tamu makosa yatakuwepo na yatarekebishwa.
Next Chelsea then arsenal tupige hawa watoto wa London then tusonge mbele.
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
the EPL legend - Gooner Ian Wright - appears to share my concern above.there's definitely something wrong with our defensive set up (both the defensive midfield & the backline itself) since that humiliating defeat vs Watford.
or is it me?
I think for now Klopp should just revert to the conventional defending and do away with this highline defending nonsense which other teams appear to have now figured out how to play against.
we have conceded 6 goals at Anfield in the last 2 leagues only, which should be a big worry in the context of the season's outlook.
if we are solid defensively, we won't have to worry too much about the mediocrity of the likes of Bobby in attack because one nil victories should still be getting us over the line.
Mi naona sahiv wanafanya biashara kama za nyanya wapate hela ndogo ndogo za chap chap.Another kid wa ngapi huyu wa nne ama dirisha hili... Aafu wakishakomaa nafasi hawapewi wanaodoka bure ama kwa ela kiduchu.. Suso, Camacho, Chirvela, binamu wa Steve nk
Hopefully Grujic nae angalau msimu huu apewe nafasi tuone kazi kazi...
YNWA
Wanangu nini maana ya FSG
Bwana wee kwa sasa tunakwenda na mfumo wa sell now to buy later usishangae Salah akauzwa ili tununue huyo MF na Beki πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ.....Mi naona sahiv wanafanya biashara kama za nyanya wapate hela ndogo ndogo za chap chap.
Naona huku hatupo tena. [emoji116]View attachment 1570167
Jana Brighton walikosa umaliziaji kipindi cha kwanza walicheza vizuri sana.. Nilikua najiuliza ilikua aje yule kocha wao wakampa mkataba mpaka 2025 vile duh jana nimemwelewa regardless ya matokeo yao but kocha amei change ile timu kabisa...Kwa ile Chelsea ya kina kai lingard havertz ,Liverpool next week anaenda kujibebea point 3 kiulaini
Dah mnaenda kujiokotea Point 3 ,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbuka walicheza na Brighton ambayo imezoea mikiki ya ligi na sisi tumecheza na Leeds ambao ndio wamepanda ligi kuu na wametutoa makamasiJana Brighton walikosa umaliziaji kipindi cha kwanza walicheza vizuri sana.. Nilikua najiuliza ilikua aje yule kocha wao wakampa mkataba mpaka 2025 vile duh jana nimemwelewa regardless ya matokeo yao but kocha amei change ile timu kabisa...
Sasa Wekedi wala sina maneno mengi hata kama ni winning ugly nahitaji pointi 3 murwa kabisa pale darajani...
YNWA
Kama. Ni record angalia head to head uone tunavyowapiga hawa.Hahahahahahahahah Eti Tupige hawa watoto Juzi tu hapa Arteta ametupangia watoto wake tumewashindwa Umeshasahau Mkuu....Rekodi