Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna game tunaenda kushinda kwa ulaini kama game ijayo na Chelsea yaani kila mtu atashangaa
 
you got a point there, boss.
 
Gini akiwa timu ya Taifa hucheze nyuma ya washambuliaji na ukitazama goli ratio yake ni kali sana... Hilo pekee linamfanya Koeman ajaribu kumpeleka kule Catalan..

Sijawai kua na doubt na 4 3 3 ikiwa kila mchezaji anafuata maelezo ya kocha to the letter tumeshinda gemu nyingi sana kuliko tulizopoteza na imetupa makombe ya nguvu haswaa, ishu inaanza pale timu pinzani sasa wameshajua hawa ni wazee wa highline defence hivyo kuna namna ya kuwaumiza yalitukuta vs Watford vs AT nk na ukitazama utaona magoli mawili ya jana ilikua ni long pass huku wachezaji wetu wakiwa almost nusu uwanja matokeo yake tukafungwo..

Kupata zile pointi 3 jana hata Klopp atakua kapumua aisee...

Lampard hahaha huyu atafia uwanjani kashasema we are damb arrogant kwa kushinda EPL hivyo ana jambo na sisi..

Itakua full cracker..

Bring em..

YNWA
 
you got a point there, boss.
Patience is damn rare virtue as Klopp said if he finds "right player" for the right price he will buy🤔🤔🤔....

My only zigzag is of all the afromentioned players we have been gossiped about there ain't any decent one valuable to join us Hahaha Klopp nae kwa maneno hajambooo... Ebu atuletee 1CB, 1 MF wizard, 1proper striker.

YNWA
 
Najiuliza kama angefungwa Andrian humu dah

Sidhani kama Alison jana alifanya kosa lolote lililosababisha goli labda niwe nimeangalia game tofauti.

Adrian halumiwi kwasababu ya jina lake bali analaumiwa kwasababu ya uzembe wake uliokithiri! Ukweli ni kwamba Adrian ni kipa wa Daraja la pili, hata Championship hadesrve kucheza.
Itazame backup ya Arsenal aliyekaa kipa kwenye game ya ngao ndiyo utajua kama FSG linapokuja suala la Kitonga hata Kindoki watamchukua.
 
Allison hadeserve Kucheza championship are you serious ??

Au umekosea kutype

Mkulima wa mahindi
 
Uwezo huonekana pale mambo yanapokua magumu beki zimekatika na yeye kakatika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…