Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tukisema tusajili tunaambiwa tunajenga Future kwa kusajili Vitoto, ona sasa leo hayumo TAA basi mashambulizi yote yanatoka upande wa kushoto wa Robbo, Upande wa kulia hakuna shambulizi lolote.
Hatuwezi kutetea EPL kwa vitoto kama hivi
 
Huyo Dogo ni mzuri na ana kipaji to be honest, lakini bado hajawa mzoefu wa kucheza mechi kama hizi.
Kiukweli baadae atakuja kutusaidia sana.
Yap ni kweli, ila tunahitaji mtu aliye tayari rather than him kwa sasa.
 
Ka kweli TAA apatiwe mbadala wake haraka sana Leo hayupo tumeona madudu yaani sasa siku akiumia je..? Atacheza uyu janja mzembe?
Robo maji anayomwaga yote haya yanapitiliza .kati atuna finisher wa ukweli Leo mpk kina vvd wapande..
 
Tunaaminishwa Bob anatosha hahah huu mzaha.
 
A.Becker anafungwa hadi na Auba

Mmefika peak yenu sasa

Hivi unakumbuka kuwa Auba ndiye aliyekudungua Fainali FA ?
Sasa ngoja uone tutakavowafanya hawa.

IMG_20200806_083540.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom