Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nina uhakika wakati Unazaliwa Mimi ninasoma Shule ya Msingi kama sio Sekondari.

Ungelikuwa una umri wa kufatilia Mpira kabla ya 2005 nina uhakika usingekuwa Mpenzi wa Chelsea bali ungekuwa Arsenal au Manure aliyetukuka.
Inferiority complex. Nenda kasome hiyo statement
 
Fanbase inapimwa vipi bila social media. Hata mimi Intagram nimezi follow timu nyingi sana EPL na nje ya EPL lakini kwanini Chelsea imzidi followers Arsenal hata tukitumia mizani hiyo huoni walakini?

Unachojaribu kufanya kujitengenezea vigezo vyako kwakua vilivyowekwa na wanaojua unaona vinakuacha mbali sana.
 
Yani Mshabiki wa Chelsea yuko tayari umwambie umepatikana kwa bao la Nyeto kuliko kumwambia Timu Yenu imeanzishwa 2005 [emoji23][emoji23]
Sema wewe ndio umeanza kuujua mpira kipindi hicho kwa sababu kama ni makombe Chelsea haikuanzia hapo kuyachukua.

Mnadhalilisha uwezo wenu wa kujudge mambo[emoji23][emoji23]
 
Ok kabla ya 2005 tulibeba FA mara 3, Leageu Cup 3, UEFA super league 1, na Community shield mara 3..

#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Inamana tukiwaambia kabla ya 2005 mulikuwa kama Bolton tu muwe munatuelewa πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa Makombe hayo basi rudia post yangu ya Jana niliyosema Everton alikuwa Mkubwa kuliko wewe! Then eti unataka uitwe Mfalme wa London mbele ya Arsenal? πŸ˜‚πŸ˜‚

Mfalme gani aliyeanzishwa 2005? πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwaka ambao Chelsea inaanzishwa (2005) Arsenal unanujuwa alikuwa na Makombe mangapi? πŸ˜‚πŸ˜‚

Chelsea Kids Football Club πŸ˜‚πŸ˜‚

CC: DullyJr
 
FSG wametupiga Spana mpaka sote tumeufyata hakuna anyezungumzia usajili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kilichobakia sasahivi tunaangalia Shoo tu tunasubiri upepo utakapotupeleka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nategemea karibuni tu tutaingia katika Guinness World Records kuwa Club iliyotumia Pesa kidogo kuliko Timu yoyote ndani ya Top 5 Leagues kwa Misimu Miwili Mfululizo kuliko Timu zilizoshuka Daraja.
 


We jamaa kumbe hujui lolote ..
Mimi Liverpool mwenzio Hadi nasikia aibu na
Unayayosema...

EPL Tanzania imeanza kutazamwa miaka mingi sana kabla Dstv haijafika..

Uliza kina Pascal Mayalla waliofanya kazi Dtv..
EPL ilikuwa inaoneshwa bure kabisa Dtv Hadi ITV baadae...

Chelsea ina mashabiki Tz wakati huo ni title contenders ma Star wao kina Ruud Gullit baadae akawa kocha na kina Torre Andre Flo na Zola...walikosa ubingwa kidogo Tu baada ya flo kuumia...

Liverpool kulikuwa na mnyama anaitwa Stan Collymore unamjua?Unayajua mambo yake?

Enzi hizo hapa hapa Tz mpira tunatazama EPL bila kulipia kingamuzi..

Newcastle ya Keegan unaijua?

Middlesbrough's ya Ravaneli unaijua??
 
Kabla ya social media walikuwa wanatumia nini kupima fanbase?
Maana hizi Facebook zimeanza tu hivi karibiuni?
 

Fsg ni owner wa Boston Red Sox..
Toka waliponunua Boston Red Sox wamechukua ubingwa mara kadhaa na timu haijashuka value...

Liverpool iko very safe na fsg
 
Wacha uwongo wewe
Hiyo Chelsea iliyokuwa title contender in IPI?
Hii iliyokaa 50 years bila EPL au nyingine?
Hivi Mimi nikija nikisema QPR ya mastaa kina Julio Cesar ilikuwa kiboko ntakuwa sawa eeeeehhh, usiipaishe timu kwa uwepo wa mastar utaonekana mbumbumbu,
Kuna timu inayokosa mastar,!hao Chelsea ya muda huo unaosema wewe ilikuwa sawa na Wolverhampton hii ya Leo,na hao unaowataja hawana tofauti na kina Neves,,Jimenez na Moutinho.........

Sema wewe una chuki na huyo uliyemquote sasa unaamua kumtolea povu
 

Uliwahi kushuhudia Chelsea au Liverpool ikichukua ubingwa wa EPL kupitia DTV?
 
Hawa vijana bado hawajaanza kujielewa mkuu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…