Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ivi hizi mechi 3 za kwanza walikusudia nini hawa Kenge? 😂😂

Hiyo ni favor kwetu, unahangaika na vigogo mapema kesi inaisha.

Hata kwenye kumalizia, round ya pili Tottenham na City tunamalizana nao mapema, Arsenal, Chelsea na United kuna interval nzuri tumepewa.

Ikitokea ligi inaisha kwa kukimbizana points, tunakuwa na easy games end of league.
 
Woooow what's a starting piece of crack to kick off the league...

Klopp vs Mercelo Biesla hii itakua 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

Mercelo is the tactics guru in the game in fact even Pep accredit him as his idol..

YNWA
 

Hizo easy games ujuwe kuwa ndiyo kina Watford waliotuumbua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…