Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
city naona wamepaniki sana, it was the only realistic chance ya wao kugusa japo semi kwenye CL....... dont think wana nafasi nyingine huko mbele maana next season timu zitakua on fire
Next season Liverpool tunarejea wenyewe kwenye Ulingo, waliobahatisha mara hii kufika nusu basi wajitahidi walibebe kwani ndiyo nafasi yao hii!
Mara ya mwisho kutokea Vituko kama hivi ni 2004, ni miaka 16 sasa.
Wajipange miaka mengine mengi mbeleni ndiyo watakuja kupata tena nafasi kama hii.
Seems Lyon loss has damn affected them big time kiasi hata Pep wanawasiwasi atawakimbia...Nilijua kachekwa na wachezaji, kumbe washabiki!
Washabiki kazi zao kuu ni mbili, kushangilia na kuzomea.
Anatakiwa alijue hilo.
Seems Lyon loss has damn affected them big time kiasi hata Pep wanawasiwasi atawakimbia...
Shinda walijiamini kwa vile walikua all major bets favourite kulitwaa hili kombe basi watawapiga Lyon kumbe bwana Garcia had other plans in store...
Wawe wandogo wajipange upya ama next season hata hizo Mickey Cups wanaweza watazikosa
YNWA
Ivi unakuwaje na mchezaji kama Bernardo Silver na Riyad Mahrez wakakosa namba kikosi cha kwanza?
Nakumbuka last season Bernardo alikuwa one of the best player in EPL lakini PEP ameshindwa kumuamini!
Kichwani kwa PEP kuna kitu hakijakaa sawa! Sishangai kutolewa kirahisi kwenye CL.
Seems Lyon loss has damn affected them big time kiasi hata Pep wanawasiwasi atawakimbia...
Shinda walijiamini kwa vile walikua all major bets favourite kulitwaa hili kombe basi watawapiga Lyon kumbe bwana Garcia had other plans in store...
Wawe wandogo wajipange upya ama next season hata hizo Mickey Cups wanaweza watazikosa
YNWA
Standards anazoziweka Pep kwa wachezaji wake nadhani ni za juu sana.
Mimi nilichoka kuna siku Sterling alifunga goli lakini Pep akamind kwamba hakutaka acheze vile alivyocheza.
Kwenye ile game Guandoga na Jesus hawakupaswa kuanza na wala hakupaswa kuchezesha mfumo wa yoga wa 3-5-2. Alikuwa achezeshe 4-3-3 au 3-4-3.
Front Three ilikuwa iwe>
Bernardo - Sterling - Mahrez
Kwenye 3-4-3 kati aweke>
Cancelo-Rodri-KDB-Walker
Kwenye 4-3-3 kati aweke>
Cancelo- Rodri - KDB
Lakini jamaa mipango imekuwa mengi mpaka anajichanganya.
Hakuna mtu muleBabu mawe anatabia za Ollachuga Oc za kujipiga ban
Kingine ambacho nakiona kutoka kwa pep ni kujiamini kupitiliza na kuwadharau Lyon juzi, ndio kilichowapata.
Yeah ukitazama ma big Kings wote walishatoka hakika hii ilikua golden chance kwao kutwaa hili kombe ila sasa wamechemka vimbaya...Lazima wachezaji wawe frustrated kwa kilichotokea kwani Msimu huu ndiyo iliyokuwa nafasi yao pekee na rahisi zaidi kulibeba Kombe, Timu za Kiengereza zote ambazo kiuhalisia Man City hawaziwezi zilikwishatoka.
Barca out
Madrid out
Juventus out
Only Bayern ndiyo ilikuwa kikwazo kwao.
Sasa kuufikiria Msimu ujao wanahisi ni kuupanda Mlima ule Wa Morogoro unaoonekana pale Msamvu.
Haha jamaa dishi limekaa kiutoporo toporoHakuna mtu mule