Thiago ni fundi haswaaaaaa...Mkuu DullyJr kumbe mnamtaka..
Aisee ndogo fundi all the best..
Shinda ni raisi wa Lyon mzee Jean yupo kama Levy wa Spurs yaaani atawapiga ela ndefu na mpaka basi hanaga huruma..
Huyo Thiago mpaka sasa mwenzio hajanishawishi japo chini ya Klopp naamini atakua moto zaidi... Shinda kwangu ni majeraha yake ndugu hilo tu..
YNWA
Hapo hapo Lyonmkuu hivi yule Lacazette mlimchukua wapi? sio lyon?
Huyu mwamba alikuwa anapiga mawe hatari,
Mchezaji mwenye kiwango chake cha kuridhisha awezi kukubali kucheza arsenal.Thiago ni fundi haswaaaaaa...
Huyu Aouar sisi tumepeleka Guendouz na pesa na wamegoma, hao jamaa wanataka kuwapiga watu pesa ndefu
Ila atakubali kucheza hapaMchezaji mwenye kiwango chake cha kuridhisha awezi kukubali kucheza arsenal.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila atakubali kucheza hapaView attachment 1539554
Mkuu kuna kupitiwa apo tuna amini mkuu lembu alipitiwa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila atakubali kucheza hapaView attachment 1539554
Yupo Swansea kwa nini asifanye vizuri unafikiri anachokifanya huko atakifanya na Liverpool.Nimefuatilia karibu kila game aliyoanza Swansea! Una uhakika na unachokisema au ni chuki tu?
Mkuu binafsi mkimkosa huyo ndogo basi aje kwetu huyu Thiago Kwangu bado sijashawishika na kasi ya EPL atakua ni mteja wa daktari mara kwa mara...Thiago ni fundi haswaaaaaa...
Huyu Aouar sisi tumepeleka Guendouz na pesa na wamegoma, hao jamaa wanataka kuwapiga watu pesa ndefu
Tumepeleka £44m + Guendouz wamegoma wanataka £55m cashMkuu binafsi mkimkosa huyo ndogo basi aje kwetu huyu Thiago Kwangu bado sijashawishika na kasi ya EPL atakua ni mteja wa daktari mara kwa mara...
Kumtoa pale mjiadae maana Jean hua hana huruma kwenye biashara ni kichwa ngumu..
YNWA
ufala[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu tunalo moja pale Anfield,..... euro royalty ndio sisiWewe umesota miaka mingap acha ufala mkuu..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app