Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
True kaka msimu uliopita we were the luckiest team EPL wakati wengine walipoteana..I am telling you, we will not get there, kwa UEFA hatutaweza.
Timu tuliyokuwa nayo this time ungeweza kusema ni timu bora ya wakati wote, lakini tunakumbuka performance yake UEFA kwenye makundi tunafungwa ovyo, tuna draw kizembe zembe. Tatizo ni kwamba EPL had poor teams this season, ndiyo maana hata aliyekuwa mpinzani wetu City katolewa kizembe kama tulivyotoka sisi, Chelsea na Tottenham same same tena kwa aibu.
UEFA haihitaji ujanja ujanja, lazima tuwe na timu kama tunataka kufanya vizuri kwenye hiyo avenue. Tuna kila sababu ya kuwa katika level hiyo, kifedha timu iko vizuri, tuna kocha bora sana kwa kipindi hiki, tuko katika level amabyo hakuna mchezaji anayeweza kutukataa, tuna Nike as our sponsor.
Huu ulitakiwa uwe ni wakati wetu.
Huyu mtuachie sisi dah,Liverpool should go full throttle kumpata Houssem Aouar wa Lyon..
He is the real deal guys under Klopp he will be unleashed to the next level..
YNWA
Mkuu DullyJr kumbe mnamtaka..Huyu mtuachie sisi dah,
Mna Hendo, keita, Gini, Ox, Faby na Thiago yupo njiani sasa huyu mngetuachia tu
Liverpool should go full throttle kumpata Houssem Aouar wa Lyon..
He is the real deal guys under Klopp he will be unleashed to the next level..
YNWA
🤣🤣🤣 Labda watu sapraizi nduguMkuu Olympic Lyon haijashuka Daraja sasa Aouar tutamsajili vipi? Au umesahau kama targets zetu ni za Walioshuka daraja?
hendo njoo mmchukue mkuu[emoji23]Huyu mtuachie sisi dah,
Mna Hendo, keita, Gini, Ox, Faby na Thiago yupo njiani sasa huyu mngetuachia tu
mkuu hivi yule Lacazette mlimchukua wapi? sio lyon?Huyu mtuachie sisi dah,
Mna Hendo, keita, Gini, Ox, Faby na Thiago yupo njiani sasa huyu mngetuachia tu
Nimefuatilia karibu kila game aliyoanza Swansea! Una uhakika na unachokisema au ni chuki tu?Naye hamna kitu ni Origi mchangamfu ni overrated tu
Wewe umesota miaka mingap acha ufala mkuu..ila mwarabu kampa kila kitu anachotaka, yani kamwaga pesa kama kichaa lkn wapi........Pep sijui atasemaje leo[emoji1787]
hili kombe acha tu, mrusi pale chelsea alisota miaka karibu 10 ndio akapata nae kwa style ya kupaki contena......
Wee jamaa bana ..Pep kafundisha lini Madrid?PEP ni Timu 3 tu Duniani alizokuwa na uwezo wa Kushinda UCL.
1) Barcelona iliyokuwa na Messi yule wa Zamani aliyekuwa akifunga Magoli 50+ kwa Msimu.
Huyu Messi wa sasa asiyefikisha hata magoli 30 hawezi shinda hata Carabao.
2) Iliyokuwa Real Madrid ya Ronaldo
3) Liverpool
Kwenye Real & Barcelona PEP ameshinda CL na wala si kwa ubora na mbinu zake bali ni kwa ubora wa Ronaldo & Messi.
Kwenye Liverpool angeshinda UCL si kwa ubora na mbinu zake bali ni kwasababu UCL ipo ndani ya DNA ya Liverpool ambayo kocha yoyote akitulia ni rahisi kuifikia kama alivyofanya BENITEZ na kikosi cha kawaida sana cha 2005 kilichowatoa Magwiji wa Bayern na AC Milan, na Chelsea bora kabisa.
Lakini kwa Timu nyengine zilizobakia PEP hawezi kushinda CL hata umpe £1B ya usajili.
Kwa Man City hii Klopp angelikwisha shinda CL 3 mpaka muda huu lakini PEP anaishia kuwa Semi Finalist kama alivyokuwa kwenye Bayern bora kabisa.
Kweli maskini akipata matercore Hulia......Lakini linapokuja suala la Domestic Cups PEP ni king'ng'anizi sana! Ndiyomana nasema akiondoka Klopp basi mbadala wake ni PEP kwasasa ili atusaidia kushinda Domestic Cups, then kwenye UCL atatuachia wenye DNA yetu (Anfield Atmosphere) tushinde kombe.
SureSehemu kama hizi Bobby Firmino ndio anafunga huku haangalii goli.View attachment 1539525
Sure
Alifunga arsenal tu basi ishakuwa keleleSehemu kama hizi Bobby Firmino ndio anafunga huku haangalii goli.View attachment 1539525