Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Bwana wee kwanza kwa taarifa zilizopo ni kwamba Klopp na jopo lake mpaka sasa endapo watamfuata basi iwe ni £20m kurudi chini na vile vile mpaka sasa kelele zote hizi zinatoka ujeremani pengine kambi ya Thiago huku Liverpool wapo kimyaa kabisa... Ndio maana utasikia hata PSG wanamtaka na sasa leo wanasema Pep anamhitaji na kutoa ofa nono na mshahara wa mkubwa kuliko sisi sasa unajiuliza lini alipewa ofa ama mshahara na Edwards lol...Ikiwa hivi ndo vigezo si bora wamlete Cantwell
Na mwakani mkataba wake unaisha hivyo hio pesa aisee ni ndefu mno..Thiago ingekuwa free transfer sio mbaya lakini kulipa hiyo ela ndefu kwake siungi mkono umri wake umeenda
Ameshajibu ila Man city watambeba
Man City wana utajiri wa Mid lakini bado wanamuhitaji sisi kiburi kingiiiAmeshajibu ila Man city watambeba
Naam.Mkuu hivi kweli tunauhitaji sana wa huyu midfield maestro kiasi cha kutoa huo mpunga woteee...
Unless atakua sio wa mwisho kusajiliwa kuna CB mmoja na forward mmoja basi we take the risk...
YNWA
Ni ndefu ndio ila uwepo wake unaweza izalisha mara 10 yake. Kuanzia uefa epl broadcasting earnings kama timu itafanya vyema. Ila ikienda kinyume ndio tutakumbuka bei kubwa.Thiago ingekuwa free transfer sio mbaya lakini kulipa hiyo ela ndefu kwake siungi mkono umri wake umeenda
Japo stat zake hazilizishi kwangu na hazitoi picha halisi endapo akija kwetu atatumika aje kutupa mbadala tulionao..Naam.
100% we need him.
Mkuu unajua kukosa mid ya aina yake imesababisha wakat mwingine ile front three kurudi chini sana kutafuta mipira. Huyu ni mzuri kwenye kukaba na kusambaza mipira.
Kama atapiga no. 8 utaiona timu iliyobadilika. Chukulia bruno alivyofunika madhaifu ya united.
Kwa kitambo kidogo tumekosa plan B pale flanks zikibanwa huyu anaweza kutupa option ya kupita katikati.
So for me tunamuhitaji. Tukipata one striker one cb one AMF baasi itabaki klopp kujipanga.
We taahira level zenu ni kusajili wachezaji ambao team zao zimeshuka daraja au uende ukasajili farmers league huko [emoji23][emoji23]Liverpool have made Official contact with Bayern munich over a deal for THIAGO AĹCANTARA.
Kama Chelsea tulimuuza Salah tukauza De brune tukauza Lukaku tukauza Hazard tukauza Luiz na sasa Willian sisi ni timu kubwa sana..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Niny liverpool ukimuondoa Torres, Coutinho na Suarez ni mchezaji gani mkubwa mumeuza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeuza Balotelli, Tumeuza Alhaj Diof, Tumeuza Bellamy, Tumeuza Anelka (Kama uliwahi kusikia alikuwa Mchezaji wa Liverpool), Tumeuza Sinama Pongole, Tumeuza Voronin, Tumeuza Lambert wote hao ni Wachezaji wakubwa kuliko hao uliowataja wewe.
Sisi tumeuza wachezaji ambao hadi sasa wanasumbua Kwenye game. Ukiondoa Balloteli ambaye bado anakipiga nan mwingine apo anakipiga? Suarez na Coutinho bado wanakipiga.Tumeuza Balotelli, Tumeuza Alhaj Diof, Tumeuza Bellamy, Tumeuza Anelka (Kama uliwahi kusikia alikuwa Mchezaji wa Liverpool), Tumeuza Sinama Pongole, Tumeuza Voronin, Tumeuza Lambert wote hao ni Wachezaji wakubwa kuliko hao uliowataja wewe.