Wewe timu yako iliyokamilika imechukuwa kombe gani tangu msimu ulioishaHii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno
Tatizo lenu ndo hilo hamkubali ushauriWewe timu yako iliyokamilika imechukuwa kombe gani tangu msimu ulioisha
hahhahaaaa umepiga cha arusha nini jomba?Hii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno
Professor kupewa ushauri na ngumbaru sijawahi kuona aisee!Hii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno
Huo ushauri wako unampa nani? Klopp hayupo humu ndani.Tatizo lenu ndo hilo hamkubali ushauri
Ukisema ivyo basi na huu uzi ufutwe mnadiscuss nini wahusika(Liverpool) hawapoHuo ushauri wako unampa nani? Klopp hayupo humu ndani.
Dharau zenu hizoProfessor kupewa ushauri na ngumbaru sijawahi kuona aisee!
In klopp we trust. Hata akasajili wa matope sawa.Hii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno
Nitajie kiungo yeyote hapo kwenu anayemkaribia Bruno kimpiraIn klopp we trust. Hata akasajili wa matope sawa.
Maguire Bissaka na Pogba wamewapa nini mpaka sasa?
James vipi huko kwenu.
Ninyi si mlisema vvd sio wa bei hiyo ni ghali mno? Salah mlisema ataflop maana alishacheza epl na akaflop.
Sana sana AMF naweza kukuunga mkono ila sio aina ya bruno. Mchezaji bila penalty haonekani. Kwa mpira wa klopp anapaswa mtu mwenye attribute za pogba na alcantara.
Hapo namba mbili nakuunga mikono yote miwili na miguu yote miwili.Hii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno
Sasa we ndo mtu wa mpira unaelewa nini timu yako inahitajiHapo namba mbili nakuunga mikono yote miwili na miguu yote miwili.
Kuna watu wanadai eti kwa kuwa aliifunga FCB basi aendelee kuwepo na kuenziwaSasa we ndo mtu wa mpira unaelewa nini timu yako inahitaji
Hii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno
Nitajie kiungo yeyote hapo kwenu anayemkaribia Bruno kimpira
Mkuu una hakika na unachokisema!!?hivi unaweza kusema origi mchango wake Ni kuifunga FCB tu!!?Kama hujui mchango wa origi kwa Liverpool napata Shaka na ufuatiliaji wako kwa LFC...itoshe kusema tukipata mchezaji mwenye uwezo zaidi ya origi atasaidia sababu origi sio kila wakati anakuwa vizur Kama back up sahihi Ila mchango wa origi ktk mafanikio ya misimu miwili ya lFC sio kitu cha kubeza hata kidogo...BINAFSI HATA AKIBAKI ORIGI SINA SHIDA.Kuna watu wanadai eti kwa kuwa aliifunga FCB basi aendelee kuwepo na kuenziwa
Anaperform mechi moja tu nyingine zote chali mchezaji wa aina hiyo simtaki mimi nataka aina ya Stevie G alichokifanya 2005 aliendelea kukifanya mpaka anastaafu
Fabinho.Nitajie kiungo yeyote hapo kwenu anayemkaribia Bruno kimpira
Kwa hiyo ukipingwa mtu anakua mtu wa tenis?Sasa we ndo mtu wa mpira unaelewa nini timu yako inahitaji
Hao wote uliowataja unganusha assist zao hawamkaribii Bruno hata roboKwa mzigo unaopigwa na Gini Fabhino Hendo, bruno ni mchumba level zake labda tumlinganishe na mtt wetu wa academy curtis jones au kwa kumpendelea labda Chamberlin.
Fabinho hamkaribii Bruno hata robo nyie wenyewe mnalijua hiloFabinho.