Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuuza ndo tununue tunaweza tusipate kitu

Yawezekana mipango ya Klopp siyo kusajili labda labda atake kutu-suprise
 
Kuuza ndo tununue tunaweza tusipate kitu

Yawezekana mipango ya Klopp siyo kusajili labda labda atake kutu-suprise
Yaani ipo shinda ndugu yangu..

Ukitazama stat za Kai na Sancho na wafanikiwe kiwango hicho hicho EPL basi ujue ligi itakua ngumu sanaa...

Ki ukweli endapo hatutasajili na kung'ang'ania hawa makinda watuvushe salama basi tutarajie kuachia usukani..

Haya maneno kwamba Klopp anapenda kikosi kiduchu bla bla yaishe.. Upana wa kikosi na wachezaji quality lazima hatukwepi...

Labda kama tutakomaa tena na EPL kama main target ila kama ni kushindana full throttle in all to grab trophies basi tutachemka haswaa...

YNWA
 
ila kwakweli tungempata Kai aisee tungejimwambafai sana msimu ujao!
 
Kuuza ndo tununue tunaweza tusipate kitu

Yawezekana mipango ya Klopp siyo kusajili labda labda atake kutu-suprise

Soko la usajili halihitaji suprise, maana unavyosubiri mpaka dakika za mwisho kuna mawili, either bei ipande au uamue kununua chaguo la 2 au 3.

Maana wale best wanakuwa wameshanyakuliwa.

Hakuna nafasi zinaniuma kama za Firimino, Henderson/Gini na Matip/Gomez. Hizi nafasi tunahitaji kuzifanyia upgrade iwe isiwe. Upgrade ya hizi nafasi siyo ya kushtukiza.

Vinginevyo tutaanza kukataana humu msimu ujao.

Na naona kabisa kuna kila dalili za dirisha kutuishia kama lilivyoanza.
 
PL yenyewe ni full race 38 games not a joke tunaweza ishia njiani

Pumzi yetu itakuwa fupi & mashabiki kiduchu uwanjani the fortress inaweza dondoka

Baada ya league kurudi nadhani kiwango chetu kimeonekana

Halafu 5 subs si inaendelea ama ulikuwa favor tu kumalizia ligi?
 

PL wanarudi kwenye 3 subs, timu ndogo zinaona kama inakuwa advantage kwa big teams.

Ila FIFA na UEFA wako okay kuendelea na 5 subs mpaka August 2021 kama mashirikisho ya nchi yatakubali.

Premier League clubs vote against use of five substitutes for 2020-21
 
Kabisa, lakini ndo hivyo hakuna hata dalili za usajili ... Rumors zote ninazo kutana nazo nabaki tu kucheka & real we need this kind of player(s) if it's real link up to us

Kuna sababu unazikuta za kusema timu haina hela, kivipi? Makombe 4 ndani ya msimu 2 kweli tunashindwa kufanya a good move & sign

Msimu ujao Kuna sababu ya kubishana kwa kuweka picha za makombe hali inaweza ikawa siyo nzuri
 

Yaani kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi Man City alivyokamia, na wote tunajua Man City ni bora zaidi yetu, sasa anavyoongeza wachezaji tena muhimu naogopa zaidi aisee.

Man United pia anafanya kuimarisha timu yake vizuri.

Tusubiri tuone itakuwaje, Klopp na FSG wanajua zaidi yetu.
 
Kila timu inasajili hadi arsenal yaani

Na Pep nadhani target yake kubwa ni kushinda ligi kwa gap kama letu

Klopp alivyosema msimu ujao tutagombea na siyo to defend a tittle nikajua tutapiga usajili mzuri kabisa

Ngoja tusubiri mpaka deadline
 
Mimi naamini kiungo cha Liva kinasapoti mno defence kuliko attacking. Ndiyo maana Wijnaldum akiwa Uholanzi kuscore kwake siyo ishu tofauti na akiwa Liva.

Kiungo akiwa Liva anatarajiwa alinde zaidi na hiyo kazi bwana Henderson anaitimiza vilivyo.
 
Tuendelee kuwa na imani mkuu
 
Mimi naamini kiungo cha Liva kinasapoti mno defence kuliko attacking. Ndiyo maana Wijnaldum akiwa Uholanzi kuscore kwake siyo ishu tofauti na akiwa Liva.

Kiungo akiwa Liva anatarajiwa alinde zaidi na hiyo kazi bwana Henderson anaitimiza vilivyo.
Upo sahihi ndugu ndio maana Gini hata goli 5 hana ama hata hizo assist 5 hana ila ukimuangalia Uhonlazi anakua tofauti kabisa..ila ukitazama msaada wake ku defend kunawasaidia Robbo na Trent kupeleka mashambulizi mbele... Ishu hapa ndugu ni pale timu inakamatika na hao dynamic full backs wanakua pinned tunakua toothless...ndio maana tunahitaji MF aina ya Kai ama Fekir nk..

YNWA
 
Hii ya sub 5 ilikua subject mwisho wa ligi msimu huu, kama klabu zote wakiafiki itakuwepo...

Nadhani baada ya Afcon kua suspended mpaka mwaka kesho ni kama vile Klopp na Edwards wanarudi upya kwenye drawing board... With Afcon tungewakosa Keita, Mane, Salah hivyo hilo lilikua limetukalia vimbaya...

Well dirisha bado changa mno tusubiri tuone mipango iliyopo..

YNWA
 
Yep ikifikia steji hiyo inakua shida kweli kweli. Anyway, pengine mtajipatia surprise transfer.

Mimi kama Arsenal nawatakia mabaya tu kiukweli siku tukikutana.
 
Kila timu inasajili hadi arsenal yaani

Na Pep nadhani target yake kubwa ni kushinda ligi kwa gap kama letu

Klopp alivyosema msimu ujao tutagombea na siyo to defend a tittle nikajua tutapiga usajili mzuri kabisa

Ngoja tusubiri mpaka deadline

Hahaha, nimecheka kwa huo mfano wako wa Arsenal.

Tusubiri kwa imani. Siyo mara ya kwanza sisi ku-doubt ila jamaa akatugeuka.

Sema nilikuwa nahitaji timu ya kupambana UEFA kibabe, ila kwa style hii sidhani kama itakuwepo timu ya hivyo.
 
Mkuu unamaanisha huyu huyu HENDO auzwe???huyu alietupa CWC,UCL,EPL,SUPER CUP
#In LIVERPOOL HALISI VOICE
Haha
 
Yep ikifikia steji hiyo inakua shida kweli kweli. Anyway, pengine mtajipatia surprise transfer.

Mimi kama Arsenal nawatakia mabaya tu kiukweli siku tukikutana.
Hahaha ndio mpira ndugu kutakiana mambaya.. No offence.

Mpambane Auba abakie EPL na pengine Mikel apewe mkwaja aboreshe defence ili ligi inoge zaidi.. Mikel ameonyesha udhubutu na anahitaji kushikwa mkono msogee mbele zaidi.. Msibweteke kumpiga Liverpool, Manchester City na Chelsea ndugu mbali mnunue kuwa na consistency..

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…