Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Nipo mtaniNitakuwa mbaya sana leo nisipoingia humu na kuwapa hongera,hatimaye Ndoto imetimia, hongereni sana Liverpool, Malafyale nkamu ghwangu hongera sana, sasa tamba zamu yako hii we Salute you "Jogoo halikamatiki"[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2],hivi rafiki yangu Ed edd n eddy upoo? Missing you so much!!!
Umeibuka? HahahahahahTunawambia mapema kabisa..
Ngao ya jamii mujipange ...
Allison kitobo kwa sasa, VVD keshaanza kujichokea, Salah Mane ndo ivyo tena ..mutaeleza izo tano mumetufungaje..
Kombe tuwasaidie na bado mutufunge??
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Hizi home kits hazijanibariki kabisa.
Kama zina hirizi yakuchukua EPL na UEFA msimu ujao ngoja wavae hata ingekuwa magauni
hii cocktail ni maharage ya wapi haya??!!
Umeibuka? Hahahahahah