Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
With Klopp and Edwards am positive we are past this mediocre signings... 🤣🤣View attachment 1517758
This was one of the lowest points at Anfield.
" He's the only no. 9 ever to go through a whole season without scoring, in fact he's probably the only no. 9 of any club to do that. "
Much shout Numbisa for tirelessly uploading this clips for us...
Its been a challenging season with Covid and all..
We thank you for the great company you have accorded us in good and in the bad times...
As the season comes to end for those who have lost thier expectations kwenye msimamo wa ligi wajue ni mpira tu huu kuna msimu ujao pia, we live to fight another day... That the beauty of soccer..
YNWA
Mkuu wachezaji wengi wanaotajwa na magazeti ya umbea majuu na hakika ni wengi mno maana kila kukicha.. Majina ambao wanatajwa mara kwa mara ni..Naombeni kujuzwa wachezaji wanaotakiwa na Liverpool na ambao. Wameachwa
Imagine... man utd fans anakuja kushangilia. jukwaa la liva [emoji23][emoji23][emoji23]Tumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
Tumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
By Shabiki wa Manchester United
Furaha waliyonayo ni kubwa kuliko hata sisi tuliobeba ubingwaImagine... man utd fans anakuja kushangilia. jukwaa la liva [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule ni fala wa kizunguyani bado namtafakari brendan, kutoka gap la point 16 mpk kupitwa ni aibu sana!...........
nilitamani sana manure wawe europa tena, ila ndio basi tena brenda kaendelea kutoa zawadi
Hahaha msimu ujao umekaa powa mno...Furaha waliyonayo ni kubwa kuliko hata sisi tuliobeba ubingwa
Kucheza "usiku wa mabingwa" raha sana ni haki yao kushangilia
Dah aiseeeeh yajayo yanaweza kufurahisha...Hahaha mie na wa hapa hapa nyumbani kumenoga sanaaaa tangu atue Klopp nina amani sanaa na timu yangu...
Mkuu hakikisheni huyu Auba anabakia EPL aisee tunahitaji Epl ijayo iwe amsha amsha zaidi ya hii...
Sina uhakika na bajeti atakayopewa Arteta ila tuwaone Mkuu mkiwa kamili kabisa..
Na kama huyo boss Stan anaazingua akae pembeni..
YNWA
Hahahaaaaa wajina wangu twafanana majina lakini twatofautiana ushabiki wa timu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wajina acha kujificha uwanja wa wazi, wewe ni Liverpool halisi
Hongera kwa kuchukua kombe kwenye Uwanja mtupu, yaani kama disco la nyumbani vileFuraha waliyonayo ni kubwa kuliko hata sisi tuliobeba ubingwa
Kucheza "usiku wa mabingwa" raha sana ni haki yao kushangilia
Pole sanaHongera kwa kuchukua kombe kwenye Uwanja mtupu, yaani kama disco la nyumbani vile