Nyie kuku wa kisasa tunajua kabisa huu ndo msimu wa mwisho kutufunga.
Angalieni tunaenda kuwafanya nini ngao ya jamii..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
kAMA KAWAIDABado tunashaka na uwezo wa Henderson?
Bado tunashaka na uwezo wa Henderson?
KDB πππ
β’ Goals 13
β’ Assists 21
View attachment 1515687
Hendo:
β’ Goals 4
β’ Assist 4
Nawashangaa Watu wanaomsifia KDB, huyu Liverpool labda aje alime nyasi lakini kwa namba hawezi pata ππ
Mwamba kabisa[emoji1320]
BissakaNaona utaifa umetumika kama kigezo kupata tuzo hiyo
Bissaka
Raheem
James
Marcus
Trent
Hawa wote ni raia wa wapi mkuu?
Dalili za kutuacha hizi