Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Binafsi nimepokeaNitakuwa mbaya sana leo nisipoingia humu na kuwapa hongera,hatimaye Ndoto imetimia, hongereni sana Liverpool, Malafyale nkamu ghwangu hongera sana, sasa tamba zamu yako hii we Salute you "Jogoo halikamatiki"[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2],hivi rafiki yangu Ed edd n eddy upoo? Missing you so much!!!
Mkuu manure hawezi mfunga LeicesterMtavuka, Leicester hana ubavu wa kuwafunga nakuhakikishia.
Mkuu manure hawezi mfunga Leicester
Manure wanakufa si chini ya goli 2+ tunza comment hii, wale manure ni timu dhaifu sanaDroo inambeba Man U.
Halafu ujue Maddison ni majeruhi.
Muda utasemaManure wanakufa si chini ya goli 2+ tunza comment hii, wale manure ni timu dhaifu sana
Unanyege mshindo mjomba [emoji3]LiVARpool
5g [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimemlevya mkuuUnanyege mshindo mjomba [emoji3]
Mtavuka, Leicester hana ubavu wa kuwafunga nakuhakikishia.
Acheni kuyafaliji manyumbu,kufungwa kuko palepale.Naamini huu uhakika utaenda kuwa kweli
Acheni kuyafaliji manyumbu,kufungwa kuko palepale.
Acheni kuyafaliji manyumbu,kufungwa kuko palepale.
Nyie kuku wa kisasa tunajua kabisa huu ndo msimu wa mwisho kutufunga.
Angalieni tunaenda kuwafanya nini ngao ya jamii..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Naona utaifa umetumika kama kigezo kupata tuzo hiyo
Nyie kuku wa kisasa tunajua kabisa huu ndo msimu wa mwisho kutufunga.
Angalieni tunaenda kuwafanya nini ngao ya jamii..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]