LIVERPOOL HALISIMwamba huyu hapa,
Captain wa mfano,
Capain hodari,
Kisiki kisichoimbwa,
Anachukiwa na mashabiki oya oya
Wachezaji chipukizi wenye uchu wa mafanikio Kuna mengi ya kujifunza kwa huyu jamaa,
Itawachukua karne nyingi Majogoo kupata Captain wa kariba hii,
Kila la kheri kamanda,Liver uliibeba mabegani mwako,Klopp aliingia mwilini mwako ukawa na spirit ya upambanaji na uongozi.
Klopp akimwelewa inatosha kabisa,
Nasubiri Arsenal warelease new kit ninunue niandike jina lako mgongoni.
[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]View attachment 1506339
Klopp anajua zaidi yako mkuu, na kwa kifupi siri ya mafanikio ya klabu ni hao watu wawili,LIVERPOOL HALISI
Yap anamaanisha CoutinhoMkuu huyo C10 unamaanisha countinho???
Dah mkuu ww ni mnafiki sana unaongea kama jamaa fulani hiviKlopp anajua zaidi yako mkuu, na kwa kifupi siri ya mafanikio ya klabu ni hao watu wawili,
Nani asiyeyajua majogoo???[emoji23]
Klopp unamuona mjinga kumpa jamaa kitambaa aongoze jahazi!!!!
π timu yako imekushinda umehamia kwetuKlopp anajua zaidi yako mkuu, na kwa kifupi siri ya mafanikio ya klabu ni hao watu wawili,
Nani asiyeyajua majogoo???[emoji23]
Klopp unamuona mjinga kumpa jamaa kitambaa aongoze jahazi!!!!
Namchukiaga huyo jamaa fulani hivi bado yupo humu maana nilimuignoreDah mkuu ww ni mnafiki sana unaongea kama jamaa fulani hivi
Mimi sio mnafiki hata siku moja mzee,nanyooka tu[emoji23]Dah mkuu ww ni mnafiki sana unaongea kama jamaa fulani hivi
Gunners bado ipo tunakuja mdogo mdogo lile ndio chama sasa, ni suala la muda tu so siwezi kimbia bado nipo 24/7π timu yako imekushinda umehamia kwetu
ahahahah muondoeni kwanza Nketiah yule sio mchezajiGunners bado ipo tunakuja mdogo mdogo lile ndio chama sasa, ni suala la muda tu so siwezi kimbia bado nipo 24/7
Hahaahaha yule anatengenezwa tunataka tumpige mtu Β£85m ,tunawakaribisha baada ya miaka miwili.ahahahah muondoeni kwanza Nketiah yule sio mchezaji
Yes ndugu endapo atapatikana chini ya Β£60m na ilipwe kwa awamu aje tu ndugu anatufaa...Mkuu huyo C10 unamaanisha countinho???
Kwa mtazamo wangu dembele atatufaa kuliko C10Yes ndugu endapo atapatikana chini ya Β£60m na ilipwe kwa awamu aje tu ndugu anatufaa...
Hata Dembele wa Barca usije shangaa akatua maana nae kule ni kama kachemka..
Upepo wetu kwenye hili dirisha hausomeki kivile hivyo naona Edwards akipedelea zaidi wachezaji ambao walipo hawahitajiki na kwa sasa ni C10 na Dembele...
YNWA
hamna kitu paleHahaahaha yule anatengenezwa tunataka tumpige mtu Β£85m ,tunawakaribisha baada ya miaka miwili.
Waje wote Mkuu...Kwa mtazamo wangu dembele atatufaa kuliko C10
Khaaaa lile boya linalogalagala chini kama nguruwe pori lililonaswa kwenye mtego?HAPANAAndika Abraham
Kudadek naona kesho inachelewa dah,tunataka tuwafundishe soka nyie viumbe
Leo lazima tuwanyonyoe na hivi hii chemistry leo haipo[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe kama Kenge mpaka uone damu ndiyo uamini