Nilichelewa kuingia humu nlivyo kosa hizo post nikajihisi labda nimeona vibaya ndo nachokoza nijue nilivyo ona ndivyo?Mkuu kwani kuna mtu humu ambaye yuko authorized kusifu wachezaji? Kwamba ni yeye tu anayetakiwa kufanya hivyo!
Kama umeona amecheza vizuri, wewe pia unaweza kumsifu.
Hata ukitamani mkuu tunaeza apata mfano wake ikiwa Haervit kesha tushinda?Perfomance ya Keita ya jana unaeza taman asitafutwe CM mwingine kabisa
Nilichelewa kuingia humu nlivyo kosa hizo post nikajihisi labda nimeona vibaya ndo nachokoza nijue nilivyo ona ndivyo?
Sawa mkuu, game zilizobaki hazina msisimko sana, ndiyo maana wadau wengi ni kama hawazitazami.
Mimi sasa hivi nalia na Firmino, kachoka kama sungura kwenye sizitaki mbichi hizi.
Hahaha lool my Boy Bobby is undergoing a dry spell Mkuu...Sawa mkuu, game zilizobaki hazina msisimko sana, ndiyo maana wadau wengi ni kama hawazitazami.
Mimi sasa hivi nalia na Firmino, kachoka kama sungura kwenye sizitaki mbichi hizi.
Hili tatizo la kunyemelea wachezaji wasiozitaka timu zao ikisha tukawakosa bado najiaminisha kuwa 'Sio kwamba Klopp Hawataki wachezaji hao' au hataki kusajili, Bali nahisi ni mkakati wa FSG kutotumia hela ndefu baada ya Matumizi makubwa waliyoyafanya kwa Keita, Fabinho, VVD na Alison.
Hahaha lool my Boy Bobby is undergoing a dry spell Mkuu...
He will come back loaded with bags full of assist, goals, tackles, cohesion etc, alive as usual when he is on song...
YNWA
Cant say otherwise if this post covid form yake sio temporary then boy is heading South big time... Personally i still got hope he will turn this around and too bad his number 2 in Origi pia yale yale kwa sasa..Yaani Bobby ameshafikia ceiling tayari, hawezi kutupa kile tunachotaka kutoka kwake.
Same kwa Wijnadlum na Ox.
Whats if wrapping the sweet EPL mapema has taken off some steam of this boys lool....Yaani Bobby ameshafikia ceiling tayari, hawezi kutupa kile tunachotaka kutoka kwake.
Same kwa Wijnadlum na Ox.
Whats if wrapping the sweet EPL mapema has taken off some steam of this boys lool....
Ox and Gini... Bado tunao and made you Gini will sign a new contract sooner...
Kazi ipo...
YNWA
Endelea kuatafuta nafas ya kucheza na club Brugge kwenye europa na greenwood wakoGreenwood is just 18 yrs but has scored 9 Epl goals.. Firmino too has 8 goals from a total 94 shots this season.. If Firmino was one who shot Tupac,Tupac would've been alive today[emoji23][emoji23]
Greenwood is just 18 yrs but has scored 9 Epl goals.. Firmino too has 8 goals from a total 94 shots this season.. If Firmino was one who shot Tupac,Tupac would've been alive today[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kuatafuta nafas ya kucheza na club Brugge kwenye europa na greenwood wakoView attachment 1502497
If this season Liverpool had fallen 23 points behind City and lost more games than Arsenal I'm pretty sure Klopp would be subject to far more criticism than Guardiola has been. And Klopp hasn't spent a billion pounds.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Greenwood is just 18 yrs but has scored 9 Epl goals.. Firmino too has 8 goals from a total 94 shots this season.. If Firmino was one who shot Tupac,Tupac would've been alive today[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]