Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Ile Party ya Ubingwa (Liverpool) si ndo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229.View attachment 1500851
Kwa hiyo mzee unabadilika kutegemea na eneo ulilopo.
Umenikumbusha, kuna clip moja dada anaulizwa "Are you married?", akajibu kwa kusema it depends on who is asking and the environment.
Typing error! Ni OX
Like seriously!!!? Second to what where,since when?
Thanks, nimeshtuka nikasema dogo kaumia lini tena.
Mimi ningekuwa kwenye nafasi ya maamuzi, Ox, Gini, Firmino ningewaambia muda wa kuwa Liverpool umeisha.
Keita ningempa msimu mmoja zaidi.
Like seriously!!!? Second to what where,since when?
You're right! Keita deserves one more chance to prove his worthy! Just one more chance.
As long as we've nothing to lose hii rotation ya leo ni nzuri kwa Afya za wachezaji wetu.
Sijui Klopp anataka kumdesign Neco Williams kuwa LB na Backup ya Robertson? Just I'm asking myself.
FIFA Player of the year 2018/19 ni Messi, na first runner up ni VVD.
Kumbuka msimu huu bado hajachaguliwa mwingine, kwa hiyo tunatumia latest results.
Liver fans bana mnafurahisha kwa takwimu zenu hahahaha
In Case you forgot he's 2nd after Messi for Balon D'or.
Any more question?
No, siyo takwimu Numbisa, nadhani hiyo ni simple tu kuilewa kwenye michezo.
Bingwa mtetezi anakoma kuitwa hivyo pale bingwa mpya anapotajwa, sioni kama kuna ajabu hapo.
Aaah sema vile hamjazoea hio kitu ndo maana mmeishikia bango. Historia huwa inamkumbuka mshindi tu. Second hana chake.
which planet are you in on?Like seriously!!!? Second to what where,since when?
Being second its just bahati tu hana kipya wa kawaida mno. Just imagine anafichwa virahisi hasa mechi mlizopokea vipigo. Woooi our rashford tu anamkalisha kirahisi bado atletico wakawaonyesha mlango wa kutokea very simple.
Na ndio second ya mwisho hio
Tehetehe akijibu nitagOngea kimpira basi Numbisa
Coz hapa maelezo yako yamekaa ya kijiwenijiweni.
Uwezo wa mchezaji haupimwi kwa mechi moja moja za kuchagua kama ulivyofanya venginevyo tutasema Cassilas hakuwa kipa kwasababu tu alipigwa migoli 5 na Barcelona, Pia Puyol hakuwa Beki kwasababu tu alipigwa migoli 7 na Real Madrid.
Eneywey! Kuna Beki bora asiyefungwa? Be sportswoman na sio mpiga ramli.
Ongea kimpira basi Numbisa
Coz hapa maelezo yako yamekaa ya kijiwenijiweni.
Uwezo wa mchezaji haupimwi kwa mechi moja moja za kuchagua kama ulivyofanya venginevyo tutasema Cassilas hakuwa kipa kwasababu tu alipigwa migoli 5 na Barcelona, Pia Puyol hakuwa Beki kwasababu tu alipigwa migoli 7 na Real Madrid.
Eneywey! Kuna Beki bora asiyefungwa? Be sportswoman na sio mpiga ramli.
which planet are you in on?