Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Na ndiyo mana nikakwambia 'uje na childish argument'.

Sasa kombe la 'CARABAO' tuliite jina gani? Kwasababu CARABAO ndiye aliyelidhamini.
 

Sasa kwanini hukubali ukiambiwa CHELSEA ndiye Mfalme wa London wakati ana makombe mengi ya Premier League kuliko Arsenal?

Chelsea ana 5
Arsenal wna 3

But ili uonekane una Makombe mengi ya Ligi kuliko Chelsea ndiyo unahesabu mpaka ya League 1.
 
Sasa kwanini hukubali ukiambiwa CHELSEA ndiye Mfalme wa London wakati ana makombe mengi ya Premier League kuliko Arsenal?

Chelsea ana 5
Arsenal wna 3

But ili uonekane una Makombe mengi ya Ligi kuliko Chelsea ndiyo unahesabu mpaka ya League 1.
Sijawahi kukataa hilo [emoji848], ila hujafatilia kauli zangu vizuri,
Kule jukwaa la vitoto Chelsea huwa nawakomalia kuwa nna makombe mengi kwa ujumla wake,kauli yangu kwao ni "WAKUSANYE MAKOMBE YAO YOTE TUPIGE HESABU"[emoji23][emoji23]hapo nawalaza chaliiiii....

Nikija hapa "NINA MATAJI MENGI YA EPL KULIKO NYINYI"[emoji23]

Na kina Penison wakija kule kwetu wanadai niwaoneshe UEFA ,[emoji23] hapo mimi natoka[emoji1550][emoji1550] nawaachia vumbi.
 

Kwa hiyo mzee unabadilika kutegemea na eneo ulilopo.

Umenikumbusha, kuna clip moja dada anaulizwa "Are you married?", akajibu kwa kusema it depends on who is asking and the environment.
 
Ile Party ya Ubingwa (Liverpool) si ndo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229.
 
Brighton XI: Webster, Stephens, Gross, Propper, Burn, Dunk, Ryan, Trossard, Maupay, Mac Allister, T. Lamptey

Subs: Button, Murray, Duffy, Mooy, Montoya, Jahanbakhsh, Bernardo, Bissouma, Connolly

Liverpool XI: Wijnaldum, Henderson, Alisson, Firmino, Oxlade-Chamberlain, Salah, Van Dijk, Joe Gomez, Naby Keita, Alexander-Arnold, Neco Williams

Subs: Milner, Adrian, Minamino, Mane, Origi, Fabinho, Robertson, Curtis Jones, Elliott
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…