Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kati ya game 5 zilizobaki, ngumu ni ya Chelsea, ingawa nao wanafungika.

Tunahitaji 12 points kufika 101 points, tuvunje record ya City.
Watford mmemalizana nao?[emoji23][emoji23]
Football bwana dah,inafanyaga comment kama hizi utamani zijifute .
 
Acheni kuungaunga vijirekodi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu Liverpool kwenye epl mwaka wa 3 sasa ajafungwa hapo anfield.hizo sio record za kuungaunga Mkuu uwanja wa nyumbani tuna utumia vizuri.

Timu yako inafungwa hovyo hovyo nyumbani ndio Maana unasema record ya kuungaunga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…