Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mmmhhh,[emoji23][emoji23]

Kwani vijana wenye umri mdogo na ambao wanaweza kupambania mataji hawapo ?
Ukiniambia suala la bajeti sawa, maana kwa mchezaji mwenye umri wa u23 ambaye ameiva mfano Kai Halvert huezi beba kwa pesa ya chumvi kama hiyo ya Thiago, usijifiche katika kichaka cha ukongwe.

Unataka kusema Yaya,Dinho,Decco de souza hawa wote walienda Camp Nou wakiwa wapo 30's yo? Au ukongwe gani unaouzungumzia wewe[emoji41]?
 
Timu ya vikongwe ni juve tu[emoji23][emoji23]
Uwekezaji katika vijana ndio mpango ,wanapata muda wa kunywa maji ya bendera.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…