Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunahitaji makipa wenye kiwango wa kumsaidia Becker in case kaumia au kapigwa kadi, aisee kutegemea hawa mapazia kama backup kisa unaukuta imara sio sahihi kabisa, gemu ya ATM beki yetu ilipambana dakika mia kumlinda Adrian, lkn pazia letu likaja likatumia dakika kumi kuharibu kazi iliyofanywa na beki kwa dakika mia
 
Siyo kitu rahisi kuwa na kipa mzuri halafu awe backup.

Tofauti na mchezaji wa ndani, ukiwa backup unaweza kukaa hata msimu mzima hujacheza, especially kwenye ligi na UEFA kama kipa namba moja hajaumia.
 
Yale mashoot ya morata wewe ungeweza kudaka, ATM yale majamaa ni shida

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo kitu rahisi kuwa na kipa mzuri halafu awe backup.

Tofauti na mchezaji wa ndani, ukiwa backup unaweza kukaa hata msimu mzima hujacheza, especially kwenye ligi na UEFA kama kipa namba moja hajaumia.
Siyo kitu rahisi lkn kinawezekana mkuu naona karibia timu zote kubwa zina makipa wa backup wenye kiwango karibia sawa na ma-starter kasoro tu Liverpool tumezidiwa hadi na Tottenham
 
Siyo kitu rahisi lkn kinawezekana mkuu naona karibia timu zote kubwa zina makipa wa backup wenye kiwango karibia sawa na ma-starter kasoro tu Liverpool tumezidiwa hadi na Tottenham
Ukiacha mechi dhidi ya Atletico, Adrian alijitahidi sana, ni Bora yeye mara elfu kuliko Karius,

Hizo team nyingine pamoja na ubora wa makipa walionao lakini wamebondwa mara kibao,

Nadhani walinzi wakiwa imara na washambuliaji nao wakiwa moto kipa anaweza akaamua kusoma gazeti
 
Ni wivu tu,[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Best Captain ever to lead modern Liverpool squad!
We love you our greatest captain Hendo
Tunasubiri unyanyue tena kwapa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…