Mandela alifungwa miaka 27, Liverpool miaka 30 ndio wametoka gerezani.
And yet the you guys did the catch most of the time we were sleeping 😴.....The winner after 3 decates
Klopp the foreseer...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] true aseiLiver ni kama walibaka mwanafunzi yaani miaka 30 walikuwa jela.jokessssss
Hongereni sana wana liver next ni sisi washka mitutu
Hahahaha imekaa sawa...Sisi ndio mabingwa wa Dunia yote,ulaya na uingereza,hakuna kama sisi.hata wapinzani wagale gale chini wote sisi ndio wafalme wao wote