Wenzako(Chelsea, Man City, Arsenal, Manchester United) walishakata gundu miaka kibao iliyopita. Ukishalibeba unaanza upya. Ndio maana walikuwa hawazungumzii hiyo miaka kama vile hawazungumzii walioteremka daraja. Tunajua kuna timu kubwa kadhaa zilishuka daraja na kurudi top flight katika historia zao.Idadi ya miaka ya ukame mpaka kuja kubeba kombe EPL
Spurs = 59 years
Chelsea = 50 years
Man City = 44 years
Arsenal = 42 years
Man United = 41 years
Everton = 33 years
Liverpool = 30 years
Hizi kondoo zinazokuja hapa na kumake fun of us kwamba ni muda mrefu na ingali walishakaa zaidi ya miaka 40 utafikiri walikuwa safari ya Jangwani kutoka Misri kwenda Kanaani!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa miezi 2 au 3 ijayo tutakoma.LiverpoolFc Mabingwa lazima watuite Mabingwa tumebeba makombe sio Kombe Makombe raha sana wale jamaa zetu wakatizame tu History ch hiI za sports tupo sie tu Mabingwa!!!!!!
[emoji3516][emoji3516]Mkuu waambie mi nitamlipa anayechora chora mwambie aongee jina langu [emoji16][emoji16][emoji16] hata kwa nyuma mazee[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1489009
Chap Chap malizeni kuweka jina letu na mwaka wa ubingwa ni 2019-2020...
The great Reds back to the summit..
YNWA
Kuinyima kwa msimu huu isingewezekana, kumbuka liver alikuwa anahitaji 2points in 7 matchesYaani Chelsea ndio inaamua kuipa au kuinyima liverpool ubingwa
Tulivumilia muda mrefu mno sana kwahiyo nanyie kuvumilia vimaneno kwa miezi kadhaa sio mbayaKwa miezi 2 au 3 ijayo tutakoma.
[emoji3516][emoji3516]Mkuu waambie mi nitamlipa anayechora chora mwambie aongee jina langu [emoji16][emoji16][emoji16] hata kwa nyuma mazee[emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaha ni kweli You Never Walk Alone...Come close in 2002, Almost there in 2009, Slipped in 2014, Lost out by a point in 2019, and finally in 2020 its here we are the champions, we are Liverpool
View attachment 1489094
Liverpool congrats on your successfull premier league campaign, champion's congrats again and all the best for the futureView attachment 1489082
Mmepewa ubingwa na Chelsea usibisheπKauli za chelsea kuwapa liverpool ubingwa zifuteni na mtuheshimu.
Game la point 20 mlitengeneza ninyi??
Mlifikori point 7 tungekosa point mbili?
MabingwaWe say thanks in loads...
Thanks pia for the goals video clips..
Keep em coming...
The future looks bright and scary haha we are ready though...
For now we enjoy the moments... Its feels superb being Champions amid all this corona chaos... We are grateful.
YNWA
π₯π₯π₯π₯πππππππππππππππππππππππππππYou Will Never Walk Alone I Dedicate This Trophy To My Beloved Dad & Mom I LOVE YOU LIVERPOOL ALLEZ ALLEZ ALLEZ!!