Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leicester nao sijui walipatwa na nini tu? Nawaangalia tu hapa wanavyo struggles, Vady na Madson leo hawana tofauti na akina lacazette 2[emoji1]
Duh mkuu sio Foxes tu, wapo na The Blades sijui baada ya mapumziko nini kimetokea... Yaani wanachapika...

Wolves karudi na moto wake...

YNWA
 
Ikitokea Chelsea akashinda game ya City, gape litabaki point 1 tu kati yao.

Naona kabisa ambavyo anaenda kuikosa namba 3.
Kwa vile kuna hati hati ya City kukosa UCL next season basi hata wa nafasi ya 5 anachekelea...

Mziki bado sana... Leo Wolves kashinda wanalingana pointi 49 na Manchester United..mbio za top 4 ni kali mno

YNWA
 
Mzee Nuno anasaka namba 4 kwa nguvu zote
Na tangu ndogo Traore asikie Klopp has taken 'interest' basi karudi yupo πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ mbayaa....

Nuno kasema hana uhakika kama msimu ujao Traore atakua nae... At least that some encouragement kama kweli Klopp is looking for the boy..

YNWA
 
Yule anaweza kutufaa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…