D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,663
- 121,093
nimeangalia mechi 3 tu za liverpool msimu huu ukiachana na mechi ya jana niliobahatika kuiangalia kwa dakika 20 za mwishoniLiverpool FC imechoka, kuanzia beki, midfield mpaka forwards.
Sioni Liverpool tuliyotaka idominate Premier League na UEFA.
Huu sasa usanii! Hivi sababu ya kufungwa na Atletico Madrid ni hiyo kweli? Mimi najua pale golini tulikuwa tumeweka shati ndiyo maana kila ikipigwa IMO! Tuwe wakweli, Becker Angekuwapo siku hiyo hali ingekuwa tofauti kabisa!You're right! Firmino not the same anymore!
Sisi kutolewa UCL na Atletico Madrid kwa kupigwa Nje ndani haikuwa bahati mbaya bali ule ulikuwa ndiyo uwezo wetu.
Timu imechoka sana kwa wachezaji ambao tayari walishavuka peak zao.
But nimeona sehemu kuwa Klopp msimu huu atasaini.
SureHuu sasa usanii! Hivi sababu ya kufungwa na Atletico Madrid ni hiyo kweli? Mimi najua pale golini tulikuwa tumeweka shati ndiyo maana kila ikipigwa IMO! Tuwe wakweli, Becker Angekuwapo siku hiyo hali ingekuwa tofauti kabisa!
Hhhhh kwenye shati.Huu sasa usanii! Hivi sababu ya kufungwa na Atletico Madrid ni hiyo kweli? Mimi najua pale golini tulikuwa tumeweka shati ndiyo maana kila ikipigwa IMO! Tuwe wakweli, Becker Angekuwapo siku hiyo hali ingekuwa tofauti kabisa!
Mechi moja tayar watu wamepaniki.Binafsi nafikiri kwa sasa timu inatakiwa kucheza kwa kurelax sana maana kazi walioifanya huko nyuma ni kubwa sana na wanahitaji pongezi vijana wetu, tuache kulaumu na kulalamika hovyo kama tusiokuwa na matumaini yoyote
Hatari sanaMechi moja tayar watu wamepaniki.
Wale ni everton pale ni goodson park sio carrow road. Sio sehemu salama kwetu hata kidgo, kama ilivyo kwao wakija anfield.
Signing zitafanyika this is what im sure hatuna sheikh mansour hatuna watu kutoka abudhabi family hivyo klopp lazima aendane na hali ya maboss(na timu). Mimi sikifiri sana klopp ananyimwa au kubaniwa pesa za usajili mwenyewe alishazungumza huenda hii covid ikaathiri uchumi wa vilabu vingi lazima tathmini ya kina ifanyike. Utashangaa tunashindwa kulipo 250k halafu tunanunua 60M kwa mchezaj ambaye huenda akafeli.
Hatujawahi kua na utamaduni wa kuspend big
Nachoona kuna kuuzwa watu kuna mikopo itarudi kuna wa mkopo watatoka.
Klopp & Edward combo nzuri tu.
Ombeni marudio basi! tuone kama hamtanyoshwa tena, kubalini ukweli kuwa timu yenu pumzi zimeanza kukata.Huu sasa usanii! Hivi sababu ya kufungwa na Atletico Madrid ni hiyo kweli? Mimi najua pale golini tulikuwa tumeweka shati ndiyo maana kila ikipigwa IMO! Tuwe wakweli, Becker Angekuwapo siku hiyo hali ingekuwa tofauti kabisa!
Ije mvua lije jua, ubingwa wa Premier uko Mezani!Ombeni marudio basi! tuone kama hamtanyoshwa tena,kubalini ukweli kuwa timu yenu pumzi zimeanza kukata.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Without new signing next season we'll be damned I swear!
Timu yetu sio mbaya hivyo haihitaji usajili wa wachezaji wengi, but tunahitaji additions kama mbili tu, Striker na attacking Mid.
The rest wataendelea kupambana.
Kuna kitu najaribu kukiwaza lakini hakiji kwenye maandishi katika mfumo niutakao.
Liverpool FC imechoka, kuanzia beki, midfield mpaka forwards.
Sioni Liverpool tuliyotaka idominate Premier League na UEFA.
Next season will be one tough season to us.
Hivi ni macho yangu mabovu kwamba Firmino yuko kwenye decline au niko sahihi!
Huu sasa usanii! Hivi sababu ya kufungwa na Atletico Madrid ni hiyo kweli? Mimi najua pale golini tulikuwa tumeweka shati ndiyo maana kila ikipigwa IMO! Tuwe wakweli, Becker Angekuwapo siku hiyo hali ingekuwa tofauti kabisa!
Binafsi nafikiri kwa sasa timu inatakiwa kucheza kwa kurelax sana maana kazi walioifanya huko nyuma ni kubwa sana na wanahitaji pongezi vijana wetu, tuache kulaumu na kulalamika hovyo kama tusiokuwa na matumaini yoyote

Mechi moja tayar watu wamepaniki.
Wale ni everton pale ni goodson park sio carrow road. Sio sehemu salama kwetu hata kidgo, kama ilivyo kwao wakija anfield.
Signing zitafanyika this is what im sure hatuna sheikh mansour hatuna watu kutoka abudhabi family hivyo klopp lazima aendane na hali ya maboss(na timu). Mimi sikifiri sana klopp ananyimwa au kubaniwa pesa za usajili mwenyewe alishazungumza huenda hii covid ikaathiri uchumi wa vilabu vingi lazima tathmini ya kina ifanyike. Utashangaa tunashindwa kulipo 250k halafu tunanunua 60M kwa mchezaj ambaye huenda akafeli.
Hatujawahi kua na utamaduni wa kuspend big
Nachoona kuna kuuzwa watu kuna mikopo itarudi kuna wa mkopo watatoka.
Klopp & Edward combo nzuri tu.
3 bilaKwani jana mumepigwa ngapi? Mbona munalia lia?